Hivi hiki kitumbo ni kushiba vyakula vya BBA au mimba au nini jamani?
Bibi Elizabeth Gupta anategemea kufunga ndoa Jan 2011 na Kelvin. Send off inategemea kuwa 02-Jan-2011.
Vikao vya send off vinaendelea. Ninawatakia kilala kheri watajariwa hawa wawili, mungu awape watoto kuzisha furaha yao ya ndoa
You always end up loving the one you hated the most. God has his way of revenging.kama mapenzi ya kweli yapo eeh Mola awajalie furaha maana ninavyokumbuka mimi baada ya eliza kutoka BBA alimponda kelvin mbayaaa.tena alimchambua hasa mpaka ufupi wake ,na hata ingekuwa kupretend hampendi sio hivyo.
ila nawatakia furaha ya kweli
Ama kweli mvumilivu hula amawefu(mbivu),kwani wakati wako mjengoni Eliza alikanusha kuwa na uhusiano na hatarajii kuwa na uhusiano na huyo Mnaija,kumbe jamaa alikuwa akifanya kweli ati
Kevin hakuwa longo longo wala bibie Eliza. Walidhamiria kikweliii
hivi ndoa ya mwisho mwampamba na yule mwenzie wa bba imeishia wapi?
you always end up loving the one you hated the most. God has his way of revenging.
kama mapenzi ya kweli yapo eeh Mola awajalie furaha maana ninavyokumbuka mimi baada ya eliza kutoka BBA alimponda kelvin mbayaaa.tena alimchambua hasa mpaka ufupi wake ,na hata ingekuwa kupretend hampendi sio hivyo.
ila nawatakia furaha ya kweli
Hivi hiki kitumbo ni kushiba vyakula vya BBA au mimba au nini jamani?