elizabeth dominic njoo tutoke wkend.japo umenitosa

Mie nawashangaa mnavyoponda kulala jamvin,mie sina haja ya kufanya jogging kwan kulala jamvin ni zoezi tosha na limenifanya kipotable mbaya Madame B jaribu kwa wiki 1 unipe majibu, bro watu8 huku niliko hayapo hayo magodoro yenu .
 
Last edited by a moderator:
hiyo kitanda ya banco ni full mneso...kama upo ndani ya V8.
teremkaa tukaze ni kitanda cha miti hicho, hakina chaga bali kimetandazwa kamba kama nyavu za Kiberaaa

...dah!
Eti V8.
Shem una balaa wewe cjakupatia mwenzako.
 
Hvyo mbona vipo vingi tu mahotelini?
Ushawahi ona kitanda ambalo bed-cover yake ni Up.upu?

upup.u tena duh!...shem mie nakabidhi lindo hapa, sasa narudi home thanks for keeping me company, msalimie huyo Loya mwambie aache kukoroma hadi huku nasikia
 
upup.u tena duh!...shem mie nakabidhi lindo hapa, sasa narudi home thanks for keeping me company, msalimie huyo Loya mwambie aache kukoroma hadi huku nasikia

Haya shem atasikia.
Me too thankx 4ur Comp.
Hav a Gud Night.
 
We hata ukinipa za scania pouwtu lakini sitachoka kumtafuta mpaka nimpate

Sasa mkiva mtu ameshakukataa bado unang'ang'ana nae tu....ya nini? Si umwache tu.
Au unataka akija um-bake nini?
 
Last edited by a moderator:
Muache akomae nae banaa, hata fisi huwa anafuata mkono anasubiria uanguke. Fuata kaka ila usiteremshe udenda hadharani.

Mbona yeye ameshateremsha udenda hadharani tayari?
Uko poa lakini mdada? King'asti
 
Last edited by a moderator:
hiyo kitanda ya banco ni full mneso...kama upo ndani ya V8.
teremkaa tukaze ni kitanda cha miti hicho, hakina chaga bali kimetandazwa kamba kama nyavu za Kiberaaa

I got v12 sweeter than female feeling like intercourse buckling the seatbelt-rozay unhuh
 
Back
Top Bottom