Elishilia kaaya kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki !?

Okay so wanaogombea kuingia kwenye siasa kumbe wote waliharibu au hawakuwa wakifanya vizuri huko walikotoka? Jamani wengine ni ambitions zao na wanapanga kuwa ikifika miaka kadhaa lazima niingie kwenye siasa. Na wengine wanajiotosa kwa nia ya kuokoa jahazi baada ya kuona viongozi wanacheza makida madarakani.

Nakubaliana nanyi mnaosema hafai na Mkuu Filipo umesema sumu haijaribiwi kwa kuionja but mpaka sasa hamjatupatia concrete reasons za kwa nini nasie tusiomjua huyu Kaaya tumwone hafai? Hebu wakuu tusaidieni profile yake hasa ya kiutendaji, accountability, ufirmness wake katika maamuzi au kutetea hoja.
 
I personally know this guy Eliashilia. He is a great person. If he is given the opportunity, the people of that constituent will probably not regret this choice. However, uozo uliopo CCM unaweza kulipeleka jimbo Upinzani.

Wapi weweee? Ngoja aingie kwenye kinga'ng'anyiro tukuonyeshe SWOT zake.
 
Elishilia kaaya ameshachukua 10% yake kwakuwauzia wale wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye vile viwanja sasa mnategemea akapoozee wapi wasimshtukie? Anakazi kubwa sana na itakua ni aibu kama atakosa huo ubunge!
 
Mgombea wa CCM anapitishwa na Chama na ni lazima iwepo bajeti kukutana ili wampate mgombea.
Chama kinaweza kutumia Sh 400,000,000 kamati kuu kumjadili mgombea na kumpitisha.So ni lazima wafanye upembuzi yakinifu.,
 
nadhani siasa zetu hazina mambo hayo ya upembuzi yakinifu hayapo.kinachotawala ni fitina,majungu na kujitangaza.
 
Elishilia kaaya ameshachukua 10% yake kwakuwauzia wale wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye vile viwanja sasa mnategemea akapoozee wapi wasimshtukie? Anakazi kubwa sana na itakua ni aibu kama atakosa huo ubunge!

hiyo cha mtoto alipiga fedha ya uhakika katika ukarabati wa ukumbi mkubwa wa aicc wa simba kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wa sullvan yaani hakuna ukumbi mbovu duniani kama huo ukikaa kiti cha katikati ili kutoka ili ukajisaidie lazima watu wote msimame ni kama ukumbi wa sinema jamaa hapo alipiga fedha iliyosimama
 
Elishilia Kaaya hafai kuwa mbunge hata wa nyumbani kwake,kwanza ni mtu mwenye uchu wa madaraka,wakati alipokuwa finance manager wa aicc nafasi ya dg ilikuwa inakaimiwa na meneja utumishi francis kulwa,wafanyakazi walimpenda sana kulwa lakini kaaya alikuwa akimfitini na kulobu kila kona ili aipate nafasi hiyo huku akitumia ushirikina pia.hivi sasa ameivuruga aicc ipo ktk hali mbaya.ni mtu mbinafsi mwenye uchu wa madaraka hafai kupewa ubunge,na akifanikiwa kupata ubunge kila siku atakuwa anakwenda ikulu kuomba apewe uwaziri
 
Ubunge wa Arumeru haupatikani kwa kigezo cha uwezo wa mtu au amefanya nini before kama members wanavyojaribu kuchangia humu. Ubunge wa Arumeru mashariki yeyote kati ya CDM au CCM anaweza kushinda kutegemea anaungwa mkono na koo zipi ktk arumeru. bado wana ugonjwa ule wa mgogoro wa KKKT miaka ya 89/90 ingawa CDM wana mtaji wa wahamiaji katika maeneo yaliyosambamba na barabara kuu ya Moshi.

Bado ktk Arumeru the pallangyos wanaweza asilani wasiwaunge mkono the kaayas, this is normal hapa Arumeru. jambo la msingi ni yeyote atakayekuwa mgombea wa CDM ahakikishe anakuwa na mawakala waaminifu ktk kila kituo hata kule Nkwalanga ambako nadhani CCM walikutumia sana kuiba kura safari iliyopita. Bado nina Imani kijana Nassari anaweza kushinda kwa sababu ktk Arumeru hii ni moja ya koo ambazo haziegemei upande wowote ktk migogoro aslilia ya wameru.

In the fairly game, Kaaya hawezi kamwe kumshinda Nassari, kwa sababu nilizozieleza hapo juu.
 
haya sasa filimbi imepulizwa nec imeshatangaza kwamba jimbo liko wazi
 
Bado huko kuna kooo kama Somali!
 
Back
Top Bottom