Elishilia kaaya kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki !? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elishilia kaaya kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki !?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 27, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu ni siku kadhaa zimepita baada ya msiba wa mheshimiwa Sumari aliyekuwa mbunge mteule wa jimbo la arumeru mashariki.najua bado tuko kwenye majonzi lakini kiukweli mchakato wa kupigania jimbo hili umeanza hata kabla ya kifo cha mzee sumari.wapo watu wengi wanatajwa kuingia kwenye mchakato wa kugombea ubunge wa jimbo hili kupitia ccm.kati ya wote wanaotajwa yuko mtu mmoja ambaye jina lake linatajwa sana,huyu si mwingine bali ni mkurugenzi wa shirika la AICC.aliwahi kuwania tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm lakini alishindwa na marehemu sumari.inavyoonekana muda wake umefika na kichinichini kampeni zimeanza,mfano watu wameanza kumnadi kwa msaada wake wa kusaidia ujenzi katika chuo kimoja huko jimboni arumeru.
  je huyu swahiba wa marry chatanda atafanikiwa??
   
 2. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamaa yuko poa. Namjua toka akiwa finance manager wa aicc! Yet jamaa ni director member wa arusha node marie na wame perform sana hapo arusha
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kama unayosema ni ya kweli wameperform sana kwanini anataka kuacha fani yake kukimbilia siasa?
   
 4. G

  Giroy Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo utakuwa msiba wa pili kwa ccm.wa kwanza ni wakupoteza mbunge na wa pili utakuwa wakupoteza jimbo. Akipigwa chini asije akashangaa, kama alivyopigwa chini mkurugenzi wa zamani wa AICC ndg Tsere, mwisho wa yote mapresha na kulazwa lazwa,ila tunamshukuru Mungu kwa kumnusuru.
   
 5. M

  Mfugang'ombe Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Members, mie pia nimeshatabiri siku kadhaa kuwa ni EK sasa. Ila sipendi sisiemu wapate hilo jimbo. CDM wamtafute mtu muhimu wa kuchukuwa ili Arusha iwe 3/4 kwani kwa sasa sisiemu wana Ngorongoro,Longido, Monduli, Arumeru magharibi na Arumeru mashariki iliyoachwa wazi ingali CDM wana Arusha mjini na Karatu. Angepatikana mtu kama Mh.Dr.Slaa atie miguu Arumeru mashariki.:lol:
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anaweza akawa mzuri sn ila chama atokacho kitamwangusha
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Umetoa sifa personal sana ku-justify uongozi bora... Arusha Node MArie hawana competition yoyote ya kutisha, AICC kulikua kisiwa cha ulaji...

  All the best Kaaya
   
 8. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watanzania ni watu pumbavu sana, mimi sijui unampa Kaaya ubunge kwa kutumia vigezo gani. Inatakiwa kupima uwezo wake kwa kuangalia AICC sehemu aliyofanya kazi for ages kama Finance Manager, Director of Finance na sasa DG. AICC wamepewa zile nyumba na ukumbi kusimamia tangu mwaka 1967 lakini mpaka sasa hawajaweza kuongeza hata SINGLE ROOM MBAUDA AU UNGA LTD. Hivi wanachofanya wao nini?

  Sehemu kama AICC club pana uwanja mkubwa sana wangekuwa na AKILI wangeshajenga project kubwa kabisa lakini wanaishia kula kodi ya shs laki tano kwa mwezi kwenye eneo lisilipungua heka TANO. This is crazy. Kifupi ni kwamba KAAYA hana uwezo hata wa kuwa Manager wa bar sababu hana strategic plans!!! ILA KWA UPUMBAVU WENU MTAMPATIA TU UBUNGE.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pengine ni wito wake wa kutaka kuperform wonders pia kwenye nyanja hiyo. Mpeni nafasi. Then huyu mnawezamtumia kama measurement ya kuverify ile hisia ya kuwa it is the system that corrupts leaders and not the leaders themselves! Lol kuwa system itammeza abadilike na kuwa kifisadi kidogo ambacho hakina tena performance wala profoma
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sasa ndugu mbona unatutusi Watanzania wenzako (kama nawe ni Mtz lakini) kwa tetesi tu? Kwani tayari keshapewa huo ubunge?!
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jackbauer,
  Taarifa njema sana hii.
  Katika mambo ambayo atapata nayo challenge huyu mgombea toka kwa wagombea wa vyama vingine ni pamoja na suala la nyumba za AICC Soweto, hasa hizi zinazotishiwa kubomolewa na kuuzwa kwa mwekezaji.
  Suala la uwekezaji ni jema , lakini ni kigezo gani kilichowafikisha AICC kumpa eneo hili mwekezaji toka Kenya, je hakuna Watanzania wanaoweza, aidha Mashirika ya fedha za hifadhi ya jamii ambao wangeendeleza eneo hili?
  Kuna utata sana juu ya uuzwaji/ubinafsishaji wa eneo hili.
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kama anauwezo kwanini anataka kuacha kazi zake aje kupiga siasa? Kuna walakini hapo,najua kama ni kweli atatumia pesa zake na ufirahuni mwingine kushinda..nadhani msimu huu ni kiama cha CCM.....
   
 14. B

  Baba Dorcas Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asubir Mpaka Nassari amalize kipindi chake cha 10 yrs., af ndo aanze mchakato wa kugombea! Sa hv ni vijana tu"
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu hakuna ubishi,mitanzania ni mijinga sana,yaani uwa inapenda kudanganywa na haipendi ukweli...ukidanganya kuna uwezekano wa wewe kushinda kuliko ukisema ukweli,jamaa akitumia vihela vyake kununua kanga,wali maharage na pombe usije shangaa jamaa anapita kiulainii? Tukubali tuna matatizo ya msingi.
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  You said it all! Asante
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Sumu haijaribiwi kwa kuionja!!:A S 465:
   
 18. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ki2 nasari for cdm,ila dogo aache pozi ajichanganye na wa2 acjione matawi ya juu
   
 19. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  I personally know this guy Eliashilia. He is a great person. If he is given the opportunity, the people of that constituent will probably not regret this choice. However, uozo uliopo CCM unaweza kulipeleka jimbo Upinzani.
   
 20. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwanza ajibu kwa nini mikutano mingi ya kimataifa imehamia Dar na siyo AICC, huwezi kuwa mzuri ukagombea ubunge na kuacha kazi yako.utakuwa marafi na mroho kwani angalau ungekuwa mtu muhimu kwenye chama hasa kada tu uliyemuwazi.

  Ukigombea ccm unamaanisha wewe ni dhahifu kwenye hoja unategemea mfumo tu na baada ya ubunge kuupata ukae kimya kama pumbavu hivi ili usiwaudhi wakubwa
   
Loading...