Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,014
7,772
Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza.

Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje?

Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu.

Pamekua na minong'ong'ono mingi kwamba elimu yetu ni ya vyeti tu ikiwa naama kwamba watu wanakariri tu na wala hawaelewi.

Maswali
Je, ni kwanini elimu yetu ni ya vyeti?
Je, ni kwanini wanafunzi hawaelewi?
Je, ni kwanini wanafunzi wanakariri?

Karibuni
 
Unachoongelea unaongelea wanafunzi wanaosoma masomo ya Sanaa wa Sayansi hawakariri wanaelewa.Sayansi Hakuna kukariri Ni kielewa tu

Kuhusu elimu ya vyeti hueleweki

Waliosoma ufundi ,udaktari na uinjinia Elimu ya walichosoma inaonekana wazi kila mahali kuanzia ujenzi wa nyumba ,matibabu nk

Dawa Ni watoto wote wasome masomo ya sayansi kuondoa hizo kelele za kusema watoto wanakariri na wanasomea vyeti tu
 
Hicho ulichokizungumzia ni 10% ya output kwa mtu aliyepata elimu kamili.
 
Sio kweli misomo ya kukariri hasa ya arts ndio haina output mingi lakini sio mainjinia barabara unaziona,majengo unayaona,mafundi magari unaona output yao ya VETA wazi wazi kabisa ,na ubunifu unaonekana , madaktari pia tatizo liko kwa hai wasoma madomo ya kukariri mavitu kichwani fani Kama Sheria,uhasibu,uchumi,historian nk hayo yanazalisha vilaza Wengi mno na ndio wanasababisha elimu ionekane duni
 
Tumetofautiana kwenye kufikiri mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom