Elimu ya Uraia Kuhusu Katiba Mpya ni Muhimu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya Uraia Kuhusu Katiba Mpya ni Muhimu sana

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Elisante Yona, Feb 14, 2011.

 1. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wanajamii,

  Mimi ninaunga Mkono suala la kuwa na Katiba Mpya.Lakini tatizo langu na Hofu yangu kwa Tanzania wengi hawajui hata hiyo katiba ya zamani ya mwaka 1977 inamapungufu gani?Kwa hiyo ninapenda kuwashauri wana zuoni kuanza kuelimisha umma kama walivyofanya majirani zetu wa kenya.

  Nimeshikanisha na ujumbe huu katiba ya zamani,iliyoandikwa kwa kiswahili,

  Elisante Yona.
   
Loading...