Elimu ya tanzania na watoto wa wakulima{maskini wa mali}

Sajunne

Senior Member
Jul 19, 2011
104
58
Habari zenu wakubwa! Ebana mada iliyonifanya niilete mbele yenu ni inagusa watoto wengi wa maskini ndani ya nchi hii. Je wadau ninaomba kujua na kuelewa utaratibu mzima wa watu wanaofanya mtihani wa 4m four kama resiters, na pia maksi zao za ufaulu upambanuo wake uko vp? Maana suala hili ni zito na linasababisha upoteaji wa direction ya vijana na watu kwa ujumula linatokea tatizo kuwa wamefeli kwa mara ya kwanza.
 
yani anaye resit ana wekewa ugumu zaidi zamani ilikua wanafanya paper 1&2,baada ikawa grade zao zipo juu kuliko wa skul
 
Back
Top Bottom