Elimu ya Tanzania imekosa ushawishi wa kisiasa, haina motisha kwa mtoto wa Tanzania

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
514
1,000
Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha.

Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi,

Ajira za Ualimu mnapendelea kuajiri certificate zaidi kuliko ngazi za degree.

Matangazo ya ajira za maafsa watendaji ukomo wa Elimu ni certificate na diploma kwa mbali.

Ajira za Afya ni nursing na clinical officers certificate na diploma ndo wanaoajiriwa kuliko wa degree.

Serikali inayofanya ndivyo na private sector ufanya.

Mbunge anasimama bungeni anasema elimu haina maana wapewe kazi standard seven.

Mambo haya hayashawishi mzazi kuwekeza kwenye Elimu na watoto kusoma kwa juhudi maana hawaoni umuhimu wa kusoma itafikia kipindi wazazi wanalazimisha watoto kusoma certificate.

Watoto huwa na malengo ukimuuliza unataka kuwa nani atakuambia daktari, daktari mwenyewe aajiriwi itamshawishi vipi hali hii.
 

jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
987
1,000
Kama unataka kuitwa msomeshaji wa watoto usifirie kwa level ya hizi shule za Tanzania govt mpaka chou kiki some nje ya mawazo yao
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
3,734
2,000
Acheni kulalamika nendeni mkasome hizo certificate na diploma ili mfiti hizo ajira za serikali, bure wa hedi wewe utafikiri kuna mkataba mliandikushana na serikali kua ukimaliza digrii ikuajiri, ndio mana mnadharauliwa kazi kulialia tu mitandaoni. Katafute pesa mana inapatikana popote pale.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
514
1,000
Acheni kulalamika nendeni mkasome hizo certificate na diploma ili mfiti hizo ajira za serikali..bure wa hedi wewe utafikiri kuna mkataba mliandikushana na serikali kua ukimaliza digrii ikuajiri..ndio mana mnadharauliwa kazi kulialia tu mitandaoni..katafute pesa mana inapatikana popote pale.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania sio nchi masikini ilo liweke akilini.
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
3,734
2,000
Ndo maeneo ya watu mloajiriwa
Nipo zangu kusini nafanya biashara ya nafaka na niko na masters tangu.. karibu tusake pesa mdogo wangu..acha kulialia kama yatima..serikali haiwezi ajiri graduates wote hichokitu hakipo nenda hata marekani na china..sekta binafsi ndo mwajiri mkubwa wa graduates.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
514
1,000
Nipo zangu kusini nafanya biashara ya nafaka na niko na masters tangu.. karibu tusake pesa mdogo wangu..acha kulialia kama yatima..serikali haiwezi ajiri graduates wote hichokitu hakipo nenda hata marekani na china..sekta binafsi ndo mwajiri mkubwa wa graduates.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya mfanya biashara hajawahi kuwa na majibu kama yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom