Elimu ya mazingira ,specialisation kutambua talanta ni muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya mazingira ,specialisation kutambua talanta ni muhimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Jun 23, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wadau
  kwa wiki tatu hivi nimekuwa nafutilia kisa cha watu waliokuw wanashambulia mitandao na tovuti ya FBI wakaiba data za kampuni za sony. Kwa jina la kitaalam wanaitwa hackers. Anywaydhumuni la mada hii si kuongelea Security

  Kuna kijaana kakamtwa ambaye ana umri wa miaka 19 tu.........
  • Wanasiasa na watunga sera wetu kwenye sekta mbali mbali kuna nini cha kujifunza atika hili?
  • Ni sekta gani au mambo gani yakifanika yanaweza kuwawezesha watu kuwa na mchango mzuri wa tafa hata bila elimu kubwa

  Elimu
  ELimu yetu tanzania mtu akimaliza darasa la saba anaweza kufanya nini zaidi ya kusoma na kuandika? Je akimaliza form form anaweza kufanya nini zaidi ya kusoma kundika na kujua kingereza kiasif ulani?

  Wazo langu wizara ya elimu inatakiwa kuanzsiha masomo na vipindi fulani vinavyoendana na mazigira ya shule au wilaya.
  Mfano
  • watoto wa maeneo kigamboni primary/ secondary walitakiwa kuwa na somo la kuogelea.
  • Watoto wa shule za rusha au mbulu wangekuwa na somo na walimu wa kipindicha michezo cha la kukimbia
  • Watoto wa shule za umasani toka primary eg darsa na tano wangeuwa nafundishswa somo la ufugaji
  • Kule ukerewe shule za karibu na ziwa viztor zingefundiswa somo la uvuvi
  • Sio viabaya maneo mengine yangekuwa na somo la ufugaji nyuki
  Naposema hivi simaanishi haya masomo yawe compulsory but ni njia ya wizara ya elimu kuanzisha masomo na vipidi vinayoendana mazingira fulani ili hata mtoto akimaliza darsa la saba au sekndari asipofanikiwa kuendela anamaliza na elimu ya kisasa ya kumuwezesh kuyamudu mazingira yake.

  Ni aibu mtoto wa kimasai anamaliza shule darsa la saba anashinwa kuendelea na mbaya zaidi hana mchango kwa wazazi wake kuwaonyesha njia za kisasa za ufugaji. Ni aibu tunshinwa ku japo washindani wenye michezo ya kikimbia wkati tunajua tuna wakimbiaji wazuri sana Arusha. Tunajua tuna wapiga kasia wazuri sana kule ukerewe

  Nikiona watoto wale wa fery wanvyoogelea na kurka kutoka kwenye fery huku wakifukuzwa na aksri naona ni lost talet amabyo taifa haliifanyii kazi.

  Kule usuk-umani kuna waendesha baikeli ( zinaitwa dala dala )ambao naamini kama wangekuwa na manfunzo hata kina amstrong wangesoma number.

  Kama TISS wao wana njia zao za kutwambua watu wa kuwafayia kazi iweje serikali ishidwe kutumia mbinu za namna hiyo kugundua wanariadha, waogeleaji waendesha baiskeli mapema kabisa amabao watapeperusha bdendera yetu?

  WITO
  Tusijidanye kuwa kila mtu kuwa na na masiha mazuri ni lazima afike Chuo kikuuu au Asome sanaaa. maisha mazuri hayapatikani kwa kalamu tuu. Kuna watu wanaishi kwa michezo ya kupiga kasia , kuendehs baiskeli kuogelea. Watunga sera wangaalie uwezekano wa kupalilia potential za vijana kulingana na mazingira yao. yaani taifa linakuja kugundua mwanaridha akiwa na miaka 30 teh teh kugundua muogeleaji akiwa yuko chuo teh teh teh

  At 19 yrs kijana wa UK anaweza kuhack website Je at 19 Kijana wa tanzania anaweza kufanya nini ?

  Nawasilisha kwa mjadala

  NB
  Habari haina mpangilizo mzuri wa kuiuandishi wa habari but hope nimeeleweka
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hoja nzuri ndugu..
  Nakumbuka kipindi tulipokuwa Mashuleni tulipewa kaeneo ka Bustani tujishughulishe na kukawa na muda maalum kwa ajili ya hizo shughuli..
  Kwa wakati ule karibia kila shule ilikuwa na hizi Programs, za Serikali na hata shule Binafsi..
  Naona siku hizi wazazi wanakazania kuwapeleka watoto wao kwenye Saint Schools ambapo mtoto anafanyiwa kila kitu na wafanyakazi wa shule..
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu mtazamaji,..
  mara zote mawazo yako yamekua ni ya kujenga sana,...
  ila sidhani kama idea zako kati ya nyingi ulizo wahi kutoa zimewahi chukuliwa
  na kufanyiwa kazi na serikali au hata kufikiria kufanya hayo (siku katishi tamaa lakini)

  Kiukweli sijui elimu za wenzetu nchi zingine ziko vipi,natamani sana masters yangu
  nisichukue Tanzania,lakini elimu ya Tanzania sidhani kama ni kwa ajili ya kumfanya mtu
  awe mgunduzi au tuseme atumie akili katika kufanya kile alicho soma,...

  Ni elimu inayo angalia uwezo wa mtu kulalili,na ukijidai kujua sana practical au ku-concetrate
  katika practical ili ujue kufanya unacho soma basi una hatari ya kufeli masomo yako,...

  Tuko mbali sana,na tutaendelea kua chini hadi mfumo wa elimu
  ubadilishwe,hadi tunaamka mda huo itakua too late,....

  Mtazamaji usichoke kaka,mawazo yako yatakua sehemu ya historia
   
Loading...