Elimu ya Lilian Mbowe

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,841
Hivi mama yako mzazi ana elimu gani? Au mkeo ana elimu gani? Maria nyerere ana Elimu gani, mama Mwinui ana elimu gani, mama kikwete ana elimu gani? Nijibu hayo
 

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
16,933
24,487
Huyu Mama amkwenda shule haswaa kwanza ungeanza kumpatia heshima yake kwa kuanza na Dr Lilian Mbowe si sawa na wale ma Dr wanasiasa wanaotunukiwa degree za heshima na kuanza kujiita ma Dr hovyo huku mambo wanayoyafanya katika jamii yakizidi kuwavua nguo.Dr Lilian Mbowe ni daktari bingwa kwa maana yakuwa na shahada 2 za udaktari ya magonjwa ya biandamu.
 

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,269
714
Unauliza ili iweje?? Unaonekana wewe ni mwanamme lakini una tabia za kike! Wewe elimu yako tunaijua? Mmemshindwa Mbowe mkaona muanze kumtafuta mkewe!
 

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,626
Graveyard hebu njoo huku naona umepata mpinzani hapa, halafu ile thread yako yenye maudhui hayahaya naona imepigwa kufuli ila hii inapeta na mod haohao wapo cool.
 
Last edited by a moderator:

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
21,493
46,012
Hivi huyu mama Mke wa Mwenyekiti Mbowe ana kiwango gani cha elimu? nauliza tu!
Mbowe kwa sasa hana mke,mke kamkimbia coz Mbowe kazaa na mbunge wa viti maalumu,viti maalum vya pichu oyeeeeeeee
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,685
1,284
ni daktar wa binadamu ni mama mzuri sana ana miguu mizuriii ,ana pesa ana elimu ana exposure lakin hajivuni hata kidogo pia ni mchakarikaji sana.umri wake na mwonekane wake TAFAUTI anaonekana kigori kwa kuwa anajua jinsi ya kujikipu....SINA UBIA NAE its just ukweli toka moyoni kiroho safeeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom