Elimu ya kova inanipa utata

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
282
Hello Great THINKERS!! Nimeangaliaa kwenye TV jinsi KOVA anavyoliongelea swala la Jerry Muro nikapata shida sana na Inteligence ya huyu kamanda. Nani anajua CV yake academically?
 
Anaweza kuwa na degree ya kupenda sifa, anapenda sana sifa huyu mtu na kutokeza kwenye TV ndiko kuliko mpandisha kwani mtu huyu kwa propagation ndio mwenyewe!!

Mara nyingi ukimwangalia katika presentations zake huwa kama hajiandai vile, sijui ana matatizo gani.
 
Tena chati kapatia DAR alipokuwa Mbeya alikuwa hana lolote anapenda sana Media.( Dully sykes) Yaani anaonekana yuko BIASED kabisa wakati hakutakiwa kufanya hivyo kama kiongozi.
 
Issue ya Jerry, ni Kova amehamanika tuu, elimu yake fresh tuu. Nakumbuka nilimuona kamanda Zombe siku alipokaimu nafasi ya Tibaigana, wakati akitangaza zile habari za polisi kufanikiwa kuwauwa wale majambaz wanne msitu wa Pande, baada ya kujibizana risasi na polisi, alitangaza kwa masifa sana, na kuita waandishi kushuhudia polisi wakipongezwa, kilichofuatia sote tunakijua.

Ukimuona kamanda Kova anavyoongea, ni wazi, anaongea kwa masifa na mapozi ya kusmile mbele ya camera. Kamanda Tibaigana pia alikuwa akiongea na waandishi daily ila was serious.

Pamoja na elimu zao zote, pia ni kweli na kuna uthibitisho, debe tupu hupiga kelele!. Si unaonaga mwenyewe hata baadhi ya magreat thinkers miongoni mwetu humu JF yunavyopigaga kelele za kidebe tupu?.
 
Communication ni tatizo la kitaifa bongo.

I miss Kuhani at times like these.

By the way hata Jerry naye ana mengi ya kujifunza. Wote walikuwa wanaongea kama wako kijiweni fulani hivi tu.

Jerry anafoka Kova ni mtu mdogo tu, Kova ni RPC wa Dar at that, Jerry yeye ana ukubwa gani wa kusema Kova mdogo?
 
nanukuu"kova is very minor person,kwanza yeye siyo jeshi la polisi yule" hii sentensi ina maana nyingi

1.kutokana na mamlaka yake kama RPC i.e kuna wakubwa juu yake
2.yeye jerry kama jerry ana mamlaka ya juu kuliko kova lakini ww na mm hatufahamu
3....................

mm naona hili ni kama shuzi ambalo limepata mjambaji,let wait!
 
Tanzania tuna mediocre wengi weather wana digrii au Phd(fake).
Kwa sasa watu wanateuliwa kwa elitism na udini.
Badala jeshi la Polisi kudeal na hard criminals sijui kwa nini wanamfuata Jerry!

Hatuna free media,ie independent journalists ambao wanaweza kuandika lolotebila kufuatwa fuatwa.
 
Mimi najua Elimu yake ni Form Four akajiendleza pale Police Collage DSM akapata Certificate ya Sheria tena ya kubebwa then akajiendeleza na kupata vikozi vidogo vidogo na pia akajiendeleza elimu ya jioni na kupata form six ya div iv. sasa hizi ndio elimu zake ila status inapanda na kuonekana mtu wa maana pale alipokuwa anatumia media hata alivyokuwa mbeya. Na kuhusu ku edit kwanza yeye aandai kitu ni wasaidizi wake na elimu ilivyokuwa ndogo yeye anacopy and paste tu. mwambie ashuke ung'eng'e kama ataweza
 
huo ni ugonjwa wetu sugu!!!! hata wenye digriii ya pili hapo ni 'inshu'
 
Kwani requirements za cheo chake zikoje?? Na yeye anazo hizo requirements au la?
Ni vyema tukaacha ad hominem na kwenda kwenye issues, I mean kama zipo.
 
Jerry nae kachemsha ..aje atupa tafsiri ya mtu mdogo na mkubwa......Tukianza kuhoji CV mbona wengi tu hapa nchini wana mamlaka makubwa lakini CV zao zatia shaka??
 
Jinsi Kova alivyopresentjuu ya habari ya Muro hakuna kitu pale.IGP tafuta mtu wa kumuweka kwenye nafasi hiyo.Wasomi wako wengi,jeshi la polisi linapaswa kuwa na wasomi sio wapiga porojo kama kova.Amezoe kila kaissue anaita waandishi wa habari na kutoa porojo.Sheria hazijui asituzingue aje tumpe shule.
 
Issue iko complex both ways. Police wana mapungufu yao mengi ktk hili,ila ktk communication hapo nina mashaka sana na jinsi JM anavyoongea kama kweli ni professional ktk hiyo kazi yake. Anaongea kama mtu wa kijiweni kabisa,he better remain quiet than uttering words that can worsen his case.
 
Jamani kwa skendo ile hata kama ni mimi ndiye JM nisingekaa kimya. Ukweli Kova na vijana wake wamechemsha. na wanaenda kuyakanyaga matapishi ya Zombe muda si mrefu. Jamaa anamisifa sana Kova. Na Kova asijidanganye kuwa hatumjui. Tunajua sana skendo zake za kuwachomekea watu kesi hasa waandishi wa habari. Hili halivumiliki. Waandishi wa habari msiogope. Ni muda wa kuwa ngangari na kuonyesha kuwa you professionals. Asiwababaishe Kova hata kidogo. Kova tayari ameshamuhukumu Jerry straight forward utadhani yeye ndiye mahakama. Tena kwa kujidai kwenye media! Inanipa walakini sana Utendaji wa Kova. Lakini TIME WILL TELL ngoja tuone
 
Kwani requirements za cheo chake zikoje?? Na yeye anazo hizo requirements au la?
Ni vyema tukaacha ad hominem na kwenda kwenye issues, I mean kama zipo.

Ni muhimu kujua CV ya mtu maana elimu ndiyo inamfanya mtu awe anaweza kuchambua mambo kwa umakini na si kukurupuka kama Kova
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom