Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

Je unaamini nitapata kazi kupitia jamiiforum?

  • Ndio

    Votes: 6 50.0%
  • Hapana

    Votes: 6 50.0%

  • Total voters
    12

Mtu smart

New Member
Sep 24, 2021
2
0
Umri 26
Jinsia ME
Makazi.. Dodoma mjini
Nb
Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa...

Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea.

"sipendi umaskini"
 
Mtaani kuna degree kibao tena zenye GPA za juu but hawana ajira,nenda shule dogo u PCM si kipimo cha urahisi wa kupata kazi,otherwise ujiajiri mwenyewe.
 
Ni wazi mtoa mada ume-Time TRAVEL, Kunawatu wapo mtaani ajira/kazi zimekua ngumu kupatikana.

Kama mjomba wako hana duka basi Option ni mbili tu.
1. Ukasome chuo
2. Au urudi ulipo toka 1964 AD
 
Umri 26
Jinsia ME
Makazi.. Dodoma mjini
Nb
Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa...

Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea.

"sipendi umaskini"
Yaani form six unatamba? Hiyo siyo elimu.Elimu ni maisha,Kama unayo,yafanye.
Utazeeka bila kuona kilichokuzeesha.Rudi kalime.Huu ndiyo ukweri wa kweri.
 
Kuna ujenzi wa hali ya juu unaendelea hapo Dom, huwezi kukosa kibarua hapo. Nikutakie kila lenye heri, naelewa maumivu unayoptia
 
Unazipata mkuu moja. Six kumbuka ni advanced level ,ama high school so Kama wajua Mana ya hayo maneno kwa kishwahili basi utaiheshimu advance
Kuna degree nyingi tu huko jeshini na bado ni Pte. Jeshi lenyewe miaka hii hao form 6 wa Mujibu linawasomesha Bachelor of military science ndo wapate hio nyota, af et unamdanganya mtu aingie na ka six kake apate nyota
 
Dodoma sasaivi kuna miradi mingi tu ya ujenzi.........Mama Samia juzi kati kamwaga pesa nyingi hapo katika mji wa serikali
 
Labda kwa wizara ya mambo ya ndani,but kwa JWTZ form six wanapata nyota
Labda mkuu sina uhakika maana nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa muda mfupi niliopata kipindi nikiwa mujibu 832 kj kuna afande mmoja alikuwa hodari koplo wetu(afande wa zamu).

Jamaa tumemkuta na cheo cha private (ana "v" moja) na ukizingatia huo ni mwaka wa tatu kama si wa pili jeshini baada ya kumuuliza alituambia aliamua kubaki jeshini baada ya kuja pale kama mujibu pia, na mpaka muda ule alikuwa hana nyota sijajua kwa sasa ila mpaka tunaondoka jamaa hana nyota .

Sikuishia hapo nilizidi kuuliza uliza kwa maafande wenye rank tofauti swali hili hili na majibu waliyotoa ni kuwa kama unataka jeshini upande cheo haraka (senior ranks kuanzia nyota moja au luteni usu) soma kozi za science hasa udaktari na uinjinia, uchumi na ualimu(japo ni last priority) kisha uwe na elimu kubwa kuanzia degree hapo utaanza na nyota moja kisha utapigwa ya pili fasta na nyengine utakuwa unazipata kwa kuongeza kisomo.

Njia ya pili ni uwe na taaluma wanayoitaka wao kisha wakatangaza uhitaji wao hapo utapanda rank fasta ila kwa six tu kuanza na nyota sina uhakika ndo mana maneno yako siwezi yapinga mkuu maana sina uhakika.
 
Sikuishia hapo nilizidi kuuliza uliza kwa maafande wenye rank tofauti swali hili hili na majibu waliyotoa ni kuwa kama unataka jeshini upande cheo haraka (senior ranks kuanzia nyota moja au luteni usu) soma kozi za science hasa udaktari na uinjinia, uchumi na ualimu(japo ni last preority) kisha uwe na elimu kubwa kuanzia degree hapo utaanza na nyota moja kisha utapigwa ya pili fasta na nyengine utakuwa unazipata kwa kuongeza kusoma .

Njia ya pili ni uwe na taaluma wanayoitaka wao kisha wakatangaza uhitaji wao hapo utapanda tank fasta ila kwa six tu kuanza na nyota sina uhakika ndo mana maneni yaki siwezi yapinga mkuu.
Labda mambo yamebadilika Kuna mshikaji wangu tumemaliza nae six mwaka 2017 Sasa ana nyota moja, yeye hakuunganisha kwenda chuo
 
Labda mkuu sina uhakika maana nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa muda mfupi niliopata kipindi nikiwa mujibu 832 kj kuna afande mmoja alikuwa hodari koplo wetu(afande wa zamu).

Jamaa tumemkuta na cheo cha private (ana "v" moja) na ukizingatia huo ni mwaka wa tatu kama si wa pili jeshini baada ya kumuuliza alituambia aliamua kubaki jeshini baada ya kuja pale kama mujibu pia, na mpaka muda ule alikuwa hana nyota sijajua kwa sasa ila mpaka tunaondoka jamaa hana nyota .

Sikuishia hapo nilizidi kuuliza uliza kwa maafande wenye rank tofauti swali hili hili na majibu waliyotoa ni kuwa kama unataka jeshini upande cheo haraka (senior ranks kuanzia nyota moja au luteni usu) soma kozi za science hasa udaktari na uinjinia, uchumi na ualimu(japo ni last priority) kisha uwe na elimu kubwa kuanzia degree hapo utaanza na nyota moja kisha utapigwa ya pili fasta na nyengine utakuwa unazipata kwa kuongeza kisomo.

Njia ya pili ni uwe na taaluma wanayoitaka wao kisha wakatangaza uhitaji wao hapo utapanda rank fasta ila kwa six tu kuanza na nyota sina uhakika ndo mana maneno yako siwezi yapinga mkuu maana sina uhakika.
Mimi nilipita huko mujibu wa sheria,nakumbuka kuna vijana waliosoma tahasusi za sayansi wenye ufaulu wa division one mpaka division three,waliweza kurudi kule,na walio wengi sasa hivi wana nyota
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom