😂😆😂😆😂😆Ni wazi mtoa mada ume-Time TRAVEL, Kunawatu wapo mtaani ajira/kazi zimekua ngumu kupatikana.
Kama mjomba wako hana duka basi Option ni mawili tu.
1. Ukasome chuo
2. Au urudi ulipo toka 1964 AD
Kwa elimu ya form six pekee hauwezi pata nyota .Jeshini nenda ukitoka nyota moja salary 1.5M plus
Unazipata mkuu moja. Six kumbuka ni advanced level ,ama high school so Kama wajua Mana ya hayo maneno kwa kishwahili basi utaiheshimu advanceKwa elimu ya form six pekee hauwezi pata nyota .
Labda kwa wizara ya mambo ya ndani,but kwa JWTZ form six wanapata nyotaKwa elimu ya form six pekee hauwezi pata nyota .
Yaani form six unatamba? Hiyo siyo elimu.Elimu ni maisha,Kama unayo,yafanye.Umri 26
Jinsia ME
Makazi.. Dodoma mjini
Nb
Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa...
Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea.
"sipendi umaskini"
Kuna degree nyingi tu huko jeshini na bado ni Pte. Jeshi lenyewe miaka hii hao form 6 wa Mujibu linawasomesha Bachelor of military science ndo wapate hio nyota, af et unamdanganya mtu aingie na ka six kake apate nyotaUnazipata mkuu moja. Six kumbuka ni advanced level ,ama high school so Kama wajua Mana ya hayo maneno kwa kishwahili basi utaiheshimu advance
hizi comment sio nzur mkuu kwa mtu anaetafuta ajiraLabda ukafundishe tution za chekechea.
Labda mkuu sina uhakika maana nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa muda mfupi niliopata kipindi nikiwa mujibu 832 kj kuna afande mmoja alikuwa hodari koplo wetu(afande wa zamu).Labda kwa wizara ya mambo ya ndani,but kwa JWTZ form six wanapata nyota
Labda mambo yamebadilika Kuna mshikaji wangu tumemaliza nae six mwaka 2017 Sasa ana nyota moja, yeye hakuunganisha kwenda chuoLabda mkuu sina uhakika maana nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa muda mfupi niliopata kipindi nikiwa mujibu 832 kj kuna afande mmoja alikuwa hodari koplo wetu(afande wa zamu).
Jamaa tumemkuta na cheo cha private (ana "v" moja) na ukizingatia huo ni mwaka wa tatu kama si wa pili jeshini baada ya kumuuliza alituambia aliamua kubaki jeshini baada ya kuja pale kama mujibu pia, na mpaka muda ule alikuwa hana nyota sijajua kwa sasa ila mpaka tunaondoka jamaa hana nyota .
Sikuishia hapo nilizidi kuuliza uliza kwa maafande wenye rank tofauti swali hili hili na majibu waliyotoa ni kuwa kama unataka jeshini upande cheo haraka (senior ranks kuanzia nyota moja au luteni usu) soma kozi za science hasa udaktari na uinjinia, uchumi na ualimu(japo ni last preority) kisha uwe na elimu kubwa kuanzia degree hapo utaanza na nyota moja kisha utapigwa ya pili fasta na nyengine utakuwa unazipata kwa kuongeza kusoma .
Njia ya pili ni uwe na taaluma wanayoitaka wao kisha wakatangaza uhitaji wao hapo utapanda tank fasta ila kwa six tu kuanza na nyota sina uhakika ndo mana maneni yaki siwezi yapinga mkuu.
Mimi nilipita huko mujibu wa sheria,nakumbuka kuna vijana waliosoma tahasusi za sayansi wenye ufaulu wa division one mpaka division three,waliweza kurudi kule,na walio wengi sasa hivi wana nyotaLabda mkuu sina uhakika maana nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa muda mfupi niliopata kipindi nikiwa mujibu 832 kj kuna afande mmoja alikuwa hodari koplo wetu(afande wa zamu).
Jamaa tumemkuta na cheo cha private (ana "v" moja) na ukizingatia huo ni mwaka wa tatu kama si wa pili jeshini baada ya kumuuliza alituambia aliamua kubaki jeshini baada ya kuja pale kama mujibu pia, na mpaka muda ule alikuwa hana nyota sijajua kwa sasa ila mpaka tunaondoka jamaa hana nyota .
Sikuishia hapo nilizidi kuuliza uliza kwa maafande wenye rank tofauti swali hili hili na majibu waliyotoa ni kuwa kama unataka jeshini upande cheo haraka (senior ranks kuanzia nyota moja au luteni usu) soma kozi za science hasa udaktari na uinjinia, uchumi na ualimu(japo ni last priority) kisha uwe na elimu kubwa kuanzia degree hapo utaanza na nyota moja kisha utapigwa ya pili fasta na nyengine utakuwa unazipata kwa kuongeza kisomo.
Njia ya pili ni uwe na taaluma wanayoitaka wao kisha wakatangaza uhitaji wao hapo utapanda rank fasta ila kwa six tu kuanza na nyota sina uhakika ndo mana maneno yako siwezi yapinga mkuu maana sina uhakika.