Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

Aisee mbona umechemka sana? degree ya Kikwete imetupeleka pabaya! umedhihirisha kuwa hauko makini na unachokinena..nakushauri usome posting za kwenye JF kisha uzitafakari ujibu ikiwa na uhakika wa unachokiandika..usitupotezee muda wa kusoma pumba zako! (Nimei-highlight red kuonyesha kuwa ni utumbo ulioandika)

Hujamuelewa huyu hapo kwenye post yake katumia bonge la metaphoric language. Hivyo mapovu yamekutoka bure pasipo yeyote.
 
Darasa la saba unaruhusiwa kuwa mbunge ila tu uwe unajua kusoma na kuandika..........

Kuna Mbunge wa Njombe Kaskazini anaitwa Deo Sanga almaarufu JAH PEOPLE yeye kaishia darasa la pili. HAJAWAHI kujiendeleza tena kwenye kusoma zaid4 ya kuanza tuition ya kiingereza baada ya kupata ubunge.
 
Hebu niwekeni sawa wana JF, kwani daraza la saba na Form four huwezi kuwa mbunge??? Na kama nimeishia form four na profile ya bunge inasema STD 7 ni kosa la nani??
tuje kwenye ukweli tu DARAZA la saba hakuna sasa ya nini kudanganya ili uonekane wa majuu hivi tukileta na USHAHIDI na mambo ya afande ZOMBE si ndio watu humu jamvini watakasirika kuna ushabiki mwingine UNAKERA
 
mbona socrates tunamheshimu sana mwanafalsa wa zamani lakini alijenga msingi wa falsafa ambayo ndiyo inatumika vyuo vikuu ,swala tuna angalia uwezo wala sio vyeti wangapi wanavyeti vikubwa lakini wameshindwa kukomboa mwacheni Lema wetu.
 
Rais wa Afrika Kusini,Jackob Zuma,hakuwahi kukaa darasani.Kadhalika,Waziri mkuu wa Uingereza wa zamani,Tony Blair, hajawahi kukaa darasani kujifunza.Hawa wawili wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kufafanunua masuala kuliko nyie madokta wa heshima mliojazana Ikulu hadi bungeni.....
Hata baba wa falsafa,Socrates hakuwahi kukaa darasani leo tunatumia mawazo na fikra zake!!
 
Elimu ya Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini, GODBLESS LEMA aliyoieleza Mahakamani wakati ya kesi inayomkabili kufuatia ushindi wake wa Ubunge jimboni humo ni tofauti kabisa na ile iliyoko kwenye profile yake iliyooneshwa kwenye tovuti ya Bunge. Aidha hakuna ukweli wa moja kwa moja wa CHUO ambacho Mh. huyo mwenye Mbwembwe sana alichosomea.

Hebu tuangalie hii ya bunge ilivyo na utata yenyewe kwanza:

  • Kamaliza darasa la saba 1989 na kuanza kidato cha kwanza kwaka huohuo wa 1989. Je hii inawezekana?
  • Ameanza kidato cha kwanza mwaka 1989 na kumaliza 1991. Je miaka hiyo elimu ya kidato cha nne ilikuwa ni miaka 3 badala ya minne?
  • Amemaliza kidato cha nne mwaka 1991 na mwaka huohuo akaanza kidato cha tano. Je hili liiikuwa linawezekana?
  • Hii Diploma aliyosoma Cambridge College ni ya nini? siasa? uchumi? fundi mchundo? au nini?

Iko haja sasa Sheria ifuate mkondo kwa TCU kukagua CV za Wabunge wetu ili kuepusha Nchi yetu kuingia katika majanga yatakayosababishwa na Wanasiasa wa aina hii.

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name: Jonathan
Last Name:Lema
Member Type:Constituency Member
Constituent: Arusha Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: Box 16531, Arusha
Office Phone: +255 764 150747
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kalangala Primary SchoolPrimary Education19831989PRIMARY
Geita Secondary SchoolO-Level Education19891991SECONDARY
Kolila Secondary SchoolA-Level Education19911993SECONDARY
Cambridge International CollegeDiploma20082010DIPLOMA
Cambridge International CollegeDegree2010TodateNOT COMPLETED
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Arusha Urban Constituency20102015
PTNChief Executive Officer (CEO)20072008
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General20052008
DENETRIADirector20052008
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Demokrasia na MaendeleoMember of Parliament2010Date
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General20052008
Tanzania Labour Party, TLPCandidate, Member of Parliament2005
PUBLICATIONS
Description Published Date
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list

Mimi naona tuanze kwanza kumjadili Livingstone Lusinde aliyeishia darasa la saba
 
Hujamuelewa huyu hapo kwenye post yake katumia bonge la metaphoric language. Hivyo mapovu yamekutoka bure pasipo yeyote.
Nimesoma post ya Eza na jibu la jamaa,msamehe bure mkuu hapa JF kuna tofauti kubwa sana za U Great Thinker.
 
[LIST said:
[*]Kamaliza darasa la saba 1989 na kuanza kidato cha kwanza kwaka huohuo wa 1989. Je hii inawezekana?
[*]Ameanza kidato cha kwanza mwaka 1989 na kumaliza 1991. Je miaka hiyo elimu ya kidato cha nne ilikuwa ni miaka 3 badala ya minne?
[*]Amemaliza kidato cha nne mwaka 1991 na mwaka huohuo akaanza kidato cha tano. Je hili liiikuwa linawezekana?
[*]Hii Diploma aliyosoma Cambridge College ni ya nini? siasa? uchumi? fundi mchundo? au nini?
[/LIST]

Jibu la hapo penye red:

WIZI NA UTAPELI
 
Dr Balali alikuwa na PHD na marehemu rais Samora Matchel wa Msumbiji alikuwa na elimu ya kawaida hebu linganisha hao wawili...La muhimu ni utumishi uliotukuka mwisho fuatilia elimu ya Abraham Lincolin na Jacob Zuma
 
Suala hapa siyo amekomea darasa la ngapi . Suala hapa ni kusema uongo , unajidai umesoma Chou kikuu ilhali hata secondari hujasoma. Katiba haina sharti la elimu ya Chou kikuu.kinachogomba ni kusema uongo. Unakuwaje kiongozi aw kitaifa na wewe ni mwongo kiasi hicho!
 
Elimu ya Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini, GODBLESS LEMA aliyoieleza Mahakamani wakati ya kesi inayomkabili kufuatia ushindi wake wa Ubunge jimboni humo ni tofauti kabisa na ile iliyoko kwenye profile yake iliyooneshwa kwenye tovuti ya Bunge. Aidha hakuna ukweli wa moja kwa moja wa CHUO ambacho Mh. huyo mwenye Mbwembwe sana alichosomea.

Hebu tuangalie hii ya bunge ilivyo na utata yenyewe kwanza:

  • Kamaliza darasa la saba 1989 na kuanza kidato cha kwanza kwaka huohuo wa 1989. Je hii inawezekana?
  • Ameanza kidato cha kwanza mwaka 1989 na kumaliza 1991. Je miaka hiyo elimu ya kidato cha nne ilikuwa ni miaka 3 badala ya minne?
  • Amemaliza kidato cha nne mwaka 1991 na mwaka huohuo akaanza kidato cha tano. Je hili liiikuwa linawezekana?
  • Hii Diploma aliyosoma Cambridge College ni ya nini? siasa? uchumi? fundi mchundo? au nini?

Iko haja sasa Sheria ifuate mkondo kwa TCU kukagua CV za Wabunge wetu ili kuepusha Nchi yetu kuingia katika majanga yatakayosababishwa na Wanasiasa wa aina hii.

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1748.jpg
First Name: Godbless
Middle Name:Jonathan
Last Name:Lema
Member Type:Constituency Member
Constituent:Arusha Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:Box 16531, Arusha
Office Phone: +255 764 150747
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kalangala Primary SchoolPrimary Education19831989PRIMARY
Geita Secondary SchoolO-Level Education19891991SECONDARY
Kolila Secondary SchoolA-Level Education19911993SECONDARY
Cambridge International CollegeDiploma20082010DIPLOMA
Cambridge International CollegeDegree2010TodateNOT COMPLETED
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Arusha Urban Constituency20102015
PTNChief Executive Officer (CEO)20072008
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General20052008
DENETRIADirector20052008
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Demokrasia na MaendeleoMember of Parliament2010Date
Tanzania Labour Party, TLPDistrict Secretary General20052008
Tanzania Labour Party, TLPCandidate, Member of Parliament2005
PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
Lema Godbless: Msaada wa haraka kutoka katika Biblia, Arusha2008
Godbless Lema: Wisdom Time, Arusha2008
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by

Viongozi wengi chadema kwenye suala la elimu ni disaster,wengi wana elimu za ujanja ujanja,kuanzia mwenyekiti mbowe,makamu mwenyekiti mzee said arfi,katibu slaa,katibu muenezi mnyika na wengine kibao,pale juu ni naibu katibu mkuu tu ndio elimu yake inaeleweka,huwa nawashangaa vinega humu wanavyopenda kuuliza uliza CV za watu lakini za viongozi wao wanasahau kuziulizia,wanaanzisha vita ya mawe wakati wao wanaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Suala hapa siyo amekomea darasa la ngapi . Suala hapa ni kusema uongo , unajidai umesoma Chou kikuu ilhali hata secondari hujasoma. Katiba haina sharti la elimu ya Chou kikuu.kinachogomba ni kusema uongo. Unakuwaje kiongozi aw kitaifa na wewe ni mwongo kiasi hicho!

Hii inanikumbusha ile kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa temeke kipindi kile nccr ikiwa ndio chama kikuu cha upinzani nchini ambapo ccm walishinda jimbo hilo kupitia ramadhani kihiyo,nccr kupitia wakili wao wakati huo masumbuko lamwai wakamkatia rufaa kwamba bwana kihiyo hakwenda shule kama alivyodai bali alighushi vyeti,na kweli ilikua hivyo kihiyo akautema ubunge ,then uluporudiwa nccr wakamsimamisha mwenyekiti wao augustine mrema akashinda na msamiati wa kumuita kihiyo mtu asieosoma ukawa umezaliwa rasmi mpaka leo tuna vihiyo wengi akiwemo huyu Lema,sugu,mbowe etc
 
huyu jamaa aujui kwamba viongozi wa ccm ndiyo wanaongoza kwa kua "vihiyo" jina ambalo lilitokana na KIHIYO WA CCM.
We jamaa jipange vizuri..
elimu siyo kitu.jamani mwenye kuweza atafute profile ya viongozi vihiyo wa ccm...
 
Wakuu, kwa mwenye CV au historia fupi au kamili ya Lema, amewahi ajiri vijana wangapi, na mtazamo/ falsafa yake kwenye kuondoa umaskini na tatizo la ajira.

Alipokuwa mbunge, Arusha ilijaa(imejaa) wauza mitumba, kwa nini hakusema?

NB: Mtu anayesajili laini 300 kwa mwezi anapata 600,000.
 
Hii ni kazi ya wanaokusanya kodi zetu
Wakuu, kwa mwenye CV au historia fupi au kamili ya Lema, amewahi ajiri vijana wangapi, na mtazamo/ falsafa yake kwenye kuondoa umaskini na tatizo la ajira.

Alipokuwa mbunge, Arusha ilijaa wauza mitumba, kwa nini hakusema?

NB: Mtu anayesajili laini 300 kwa mwezi anapata 600,000.
 
Back
Top Bottom