Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

Kaka hili changa la macho, credit zake za form IV hazimruhusu kugusa MLIMANI, hata kuwa mfagiaji wa mabweni hawezi, ni udhalilishaji kusema lema kasoma MLIMANI na uombe msamaha.

Mkuu, mie sijasema hivyo ebu nisome vizuri mie niliambiwa na Pro-Chadema mmoja humu JF ndio maana nikauliza.
 
Unafikiri watu wenye sura kama ya kwako wanaweza kutafakari zaidi ya hapo ulipoishia? Sura kama hilzo kazi yake ni kuwapagawisha less minded kama akina Lema ili wajione wako juu ya dunia.

sasa kama elimu ya Lema siyo hiyo unatakaje. Avuliwe ubunge?kina sendeka wana elimu gani? Wananchi wa jimbo lake wameona anafaa kuwatumikia thus final! Kelele unazopiga hazitasaidia go and sip glass of water for ralaxation
 
Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.

Niongeze kwa taarifa kwa wanaJF, kwamba mwanasiasa maarufu sana wa Kiingereza, Winston Churchill, elimu yake rasmi iliishia tu Sekondari katika Shule ya Harrow.
 
Mzee wangu sasa ndio naelewa kwanini kila unachoanzisha kinafanikiwa! Wazee wa umri wako wanaopita kwenye mitandao kama JF ni almost zero percent!! Tunajivunia uwepo wako hapa! Kuhusu Lema elimu aliyonayo inatosha kuwatumikia wananchi maana kule Lema haendi kufanya tafiti za kitaaluma.kazi za mbunge ziko wazi sasa madegree ya nini na kuna Phd ngapi bungeni(akiwemo Nchimbi) na zinafaida gani zaidi ya kuunga mkono hata hoja za kipu.uzi madam imetokea CCM?
I
 
sidhani uongozi ni elimu na kama ni elimu nafikiri watz wangemchagua Prof I. Lipumba maana ana elimu kubwa..alaf tuangalie na tuache ushabiki hiv hawa mnaosema wana elimu si ndo wezi
1.A Chenge ...
2.E.lowasa ..
3.BWM
4.Mramba
na wengineo niambie wamefanya nn hapo wasomi km mtu amefanya kitu cha maana mpeni hongera na sio kushangilia vitu ambavyo havina mantiki ...big up Lema coz we all know hawa ni wanafiki wako ...aluta continua ....
 
Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.

Niongeze kwa taarifa kwa wanaJF, kwamba mwanasiasa maarufu sana wa Kiingereza, Winston Churchill, elimu yake rasmi iliishia tu Sekondari katika Shule ya Harrow.

Mzee Mtei,
Nadhani hakuna ubaya wowote kuhoji elimu ya viongozi wetu unachasema ni kweli hata hapa Tanzania Prof Maji Marefu, mbunge wa Korogwe pamoja na mbunge wa Mtera Livingstone Lushinde, hawa wote ni wahitimu wa kidatu cha saba.

Kwa hiyo sio kama kweli watu wanamshambulia Lema, kutokana na elimu yake ndogo ni changamoto tu za uongozi.

Ukiamua kuwatumikia wananchi lazima watataka kujua elimu ya kiongozi wao.
 
Kwa Tanzania, mara nyingi hakuna uhusiano wa elimu ya mtu na ubora wake katika uongozi. Mfano mzuri angalia ufanisi katika vyuo vyetu vikuu vinavyoongwoza na maprofessor wengine wana PhD za uongozi na utawala na wameandika papers kibao za uongozi bora. Rais wetu ana shahada ya Uchumi lakini angalia uchumi wetu unapoelekea. Elimu zetu hazijatusaidia sana hasa kwa upande wa uongozi.
 
There is nothing wrong with having a degree from Street University as long as you can deliver. Three words are key words, deliverables,deliverables and deliverables!
 
Mzee Mtei,
Nadhani hakuna ubaya wowote kuhoji elimu ya viongozi wetu unachasema ni kweli hata hapa Tanzania Prof Maji Marefu, mbunge wa Korogwe pamoja na mbunge wa Mtera Livingstone Lushinde, hawa wote ni wahitimu wa kidatu cha saba.

Kwa hiyo sio kama kweli watu wanamshambulia Lema, kutokana na elimu yake ndogo ni changamoto tu za uongozi.

Ukiamua kuwatumikia wananchi lazima watataka kujua elimu ya kiongozi wao.

Mbona kwenye hii orodha ya wabunge wa CCM walioishia darasa la saba umemsahau Deo Sanga Jah People?
 
sasa kama elimu ya Lema siyo hiyo unatakaje. Avuliwe ubunge?kina sendeka wana elimu gani? Wananchi wa jimbo lake wameona anafaa kuwatumikia thus final! Kelele unazopiga hazitasaidia go and sip glass of water for ralaxation

Jamani ukweli unauma! Si aseme tu kweli hata kama elimu yake ni ya KINDERGATEN?Kuliko kujipachika sifa za kielimu usizokuwa nazo.HATA MEMKWA HAWAWEZI KUSOMA KWA MTINDO WA MH.HUYO
 
Kama Muasisi na Mwenyekiti Taifa wa kwanza wa Chadema nataka kumhakikishia Mhe. Godbless Lema kwamba chama chake kina imani naye, licha ya utata unaokuzwa na vyombo vya habari juu ya elimu yake rasmi.

Niongeze kwa taarifa kwa wanaJF, kwamba mwanasiasa maarufu sana wa Kiingereza, Winston Churchill, elimu yake rasmi iliishia tu Sekondari katika Shule ya Harrow.

Salam M/kiti mstaafu.Kumpa moyo Lema ni jambo jema lakini ni vema akajibu na kumaliza utata unaoonekana kuhusu ELIMU YAKE,toka elimu ya msingi-sekondari na kisha hiyo Digrii yake ya Cambridge
 
sasa kama elimu ya Lema siyo hiyo unatakaje. Avuliwe ubunge?kina sendeka wana elimu gani? Wananchi wa jimbo lake wameona anafaa kuwatumikia thus final! Kelele unazopiga hazitasaidia go and sip glass of water for ralaxation

Jamani ukweli unauma! Si aseme tu kweli hata kama elimu yake ni ya KINDERGATEN?Kuliko kujipachika sifa za kielimu usizokuwa nazo.HATA MEMKWA HAWAWEZI KUSOMA KWA MTINDO WA MH.HUYO
 
Lema ni graduate wa Street University!

.....iko wapi hii university? naomba contacts zake.

maana nataka kui-recommend kwa vijana wengine ili nao wanufaike na elimu aliyoipata lema ambayo kwayo wananchi wa arusha na bunge letu sasa wanakula matunda yake!!
 
kwa hiyo?

Acha *****, kama unataka kumjibia then ujibu na sio kwa hiyo!! Mbona ninyi watu wa CDM mnajidhihirisha mlivyo? Kama kweli ni chama mbadala basi muitafsiri mambo yenu kwa vitendo na sio kuonyesha udhaifu!!

Jamaa katoa alichokiona kwenye website ya Bunge na alichokishuhudia Mahakamani kuwa ni vitu viwili tofauti, sasa basi kinachotakiwa ni kujibiwa kuwa ni Ndio au Siyo....Basi!!!
 
Mtaongea saaaana! Lakini piga ua Lema ni mbunge wa Arusha Mjini! Nawatakia mapunziko mema ya mwanzo wa weekend hii.
 
Back
Top Bottom