Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,128
- 1,842
Jana mmetoka kwenye vibanda umiza kinyonge sanaUnateseka ukiwa wapi eti?
Jana mmetoka kwenye vibanda umiza kinyonge sanaUnateseka ukiwa wapi eti?
Nyerere huyuhuyu "Baba wa Taifa"?Ni wajinga hata nyerere aliyekua mshabik wa Yanga alikua kilaza
Ndio Alikua mshabiki wa Yanga, mtoa mada amesema washabiki wote wa Yanga ni wajinga ndo nikamtolea mfanoNyerere huyuhuyu "Baba wa Taifa"?
Poleeeeeh tukutane kigoma.Jana mmetoka kwenye vibanda umiza kinyonge sana