Elimu ya Afya ya Uzazi kuwa kichocheo utoaji Mimba?

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Inasemekana kuwa, kadri uwezo wa uelew kwa watoto wa kike, wavulana, wanaume na wanawake wanavyozidi kupanuka ki upeo kuhusu ELIMU YA AFYA YA UZAZI, ndivyo utoaji wa mimba unavyokuwa mwepesi na rahisi kwao.

Imeoneshwa kuwa, katka takwimu za shirika la AFYA DUNIANI (WHO), zinasema kuwa, takribani MIMBA milioni 40 hadi 50 hutolewa kila mwaka, sawa na mimba 125,000 kwa siku.

Hii imeonekana kuwa kabla ya elimu ya uzazi kufundishwa shuleni , vituo vya afya, matamasha mbalimbali, au mitandao, makala za madaktari utoaji mimba ulikuwa katika kiwango cha chini.

,,,nini mawazo yako,,,unahafki kwa hili? au hakuna usahihi wowote?
 
Back
Top Bottom