kivangaukali
Member
- Jan 8, 2016
- 72
- 26
kuanzia umri wa kwenda shule mpaka elimu ya juu tunafundishana kuwafanyia kaz waliona pesa tayar kama serikali mashirka binafsi lakini co kufundishana namna gan pesa inaweza kupatikana kwa kuzalisha maliasili zetu cha ajabu uwezo wa binadam mfano umeumwa na uwezo wa 10mb unakwenda shule unajanzwa10gb hv kweli unakuwa na uwezo wa kufikir kile MUNGU kipawa alichokupatia. Tunatakiwa kuitizama ELIMU yetu kwa nature ya bara letu