Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

unayosema ni kweli,vyuo vyetu vingi havina standards ,usije ukajilaumu kwa nini ulipoteza muda huko wakati unaweza kutoka mbumbumbu na sio expert,mdogo wangu nenda advance you have nothing to loose and you are still young..

Mtu alishakwambia anataka kusomea utalii wewe unakomaa na veta yako. Kweli wabongo tumekariri sana maisha. Kwa io wewe kwenda uko veta ndo ujuzi wa maisha ? Embu acheni kumshauri dogo upuuzi. Mtu kafaulu form 4 aende veta kufanya nn wakati anaweza kwenda degree akipitia advance

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha kujitungia Matokeo wewe
Umemaliza mwaka jana leo matokeo yashatoka

Nakushauri nenda advance miaka miwili ukifaulu unaenda chuo

Chuo ni miaka mitatu ndiyo uende degree

By the way Mzee wa magogoni hatoi ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply......Nakushauri narudia tena Kukushauri nenda ADVANCE halafu uliunge li bachelor lako la tourism hao wanaokwambia usiende Advance wengi hawajapita huku wengine walitamani kupita ndo hvyo hawakufaulu Kama wewe ni wivu unawasumbua aliekwambia Nani ukipita diploma unakuwa bora kuliko aliepita advance huo ni uongo nimesoma na waliopitia diploma Hakuna chochote tupo sawa tu kule kuna course tunaenda kuanza wote moja halafu cha ajabu hio iliokwambia uende chuo yenyewe liko diploma na bado linaenda kusoma degree wewe umepata chance ya kwenda direct nenda unataka ujizungushe Kama hawa jamaa?. tatizo wabongo hatupend kuzidiana wanataka wakupite au muwe sawa NENDA ADVANCE usiposikiliza na hapa basi....nani kakwambie nkupoteza mda unajitengenezea chance ya kuwa na elimu ya juu Hakuna cha u experts wala ushuz wake expert as long as nakuzid elimu basi nakuzid mshahara halaf usikariri kuajiriwa
 
Habari wana JF, naomba majibu yenu kwenye hili, kati ya wanafunzi wawili yaani 'A' na 'B' wote wamemaliza o-level na kubalance comb ya CBG, na PCB, then mwanafunzi 'A' akaamua kwenda chuo kupiga diploma ya clinical medicine na mwanafunzi 'B' akaenda advance, je incase huyu wa advance atafaulu form 6 then ajiunge chuo kusomea kozi ya afya kama Clinical officer, lab technician nk, atakua na utofauti gan na yule aliepiga shortcut ya diploma 3yrs?, na kama kuna utofauti atasomea kozi hizo kwa level gani?. Majibu yenu yanahitajika. Shukran
 
Kwenda Dip Inamjenga Mtu Kwenye Hy Course Kuwa Compitent!! But Form Is Not Waste Of Time As People Thinks, Inakujenga Kiasi Flan Kujiandaa Na Masomo Ya Chuo, Pili When It Came Kwenye Mikopo Priority Kubwa Inapewa Mtu Wa V.I, Tatu Mkwanja Mrefu Kwa Diploma Hawatoi Mkopo,( Sina Uzoefu Mkubwa)
 
Habari wana JF, naomba majibu yenu kwenye hili, kati ya wanafunzi wawili yaani 'A' na 'B' wote wamemaliza o-level na kubalance comb ya CBG, na PCB, then mwanafunzi 'A' akaamua kwenda chuo kupiga diploma ya clinical medicine na mwanafunzi 'B' akaenda advance, je incase huyu wa advance atafaulu form 6 then ajiunge chuo kusomea kozi ya afya kama Clinical officer, lab technician nk, atakua na utofauti gan na yule aliepiga shortcut ya diploma 3yrs?, na kama kuna utofauti atasomea kozi hizo kwa level gani?. Majibu yenu yanahitajika. Shukran
Uyo wa A hatojutia uamuzi wake kamwe,natamani ningekua namjua nimepe big yes,coz atajiunga na chuo akimaliza diploma yake na pia atapata mkopo ikiwa amefaulu vizur na atajivunia kuwa na professional huku akiwa asoma bachelor yaani atakua anasoma huku hana pressure kabisa coz atakua na uelewa mpana kuhusu anachokisoma,so kwa ushauli wangu na maono yangu uyo wa A amelamba dume.

Naunga Mkono Hoja
 
Huyo wa form 6 akifaulu hana haja ya kusoma diploma.
Ukisoma clinical medicine kuja kusoma Md ni mbinde.
Huyu wa form six anakuwa na option nyingi za kufanya kazi.
Tofauti kubwa ni mkopo. Ila uwezo wa kazi huwezi kulinganisha Md na clinical officer hata siku moja.
Kinachofanya waonekane wanafanana ni uchache wa vitendea kazi katika vituo vyetu vya kutolea huduma.

Na kwa kijana anaye anza sasa maisha aisende kusoma diploma. Kama Md wanapangwa vituo vya Afya sasa hawa wadiploma wataishia zahanati. Ambapo huo ujuzi anaotaka kujivunia hautakuwa na kazi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani kama lengo ni pesa za haraka ni vema akaenda diploma ila kwa mtu mwenye malengo makubwa kielimu ataenda five na six.

Sababu mtu aliesoma diploma ni kazi sana kushawishika kusoma degree amesoma miaka mitatu afanye kazi miaka miwili akasome miaka mitano ili baadae aweze enda specialization

Nadhani unaona kaugumu kalikopo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264
 
Nenda Advance ukimaliza, ndo utaenda Chuo kusomea hiko unachokitaka.

Ukisema uende Chuo now, ukasomee uhasibu, hapo unaweza kuanzia Certificate...sasa umalize Certificate, uje Diploma, uende Degree. (Miaka hiyo balaa).

Soma Advance, ni nzuri. Itakutoa haraka.
 
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264

Kama unataka kusomea UHASIBU, achana na Kidato cha Tano/Sita na achana pia na chuo.

Somea moja kwa moja CPA (T). Nenda ofisi za NBAA zilizo jirani na wewe kwa maelekezo zaidi.

Tembelea mtandao wa NBAA kwa maelezo zaidi.

1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264
.

Pitia hapa ndugu yangu
 
Lakini pia pitia hapa. Utapata mwanga..

KUMBUKA: Hata uwe na PhD in Accounting Huwezi kuitwa "Accountant" hapa Tanzania mpaka uwe na cheti cha CPA (T).
 
Back
Top Bottom