Tetesi: Elimu ya advance na chuo

O

omega_

Member
Joined
Dec 3, 2018
Messages
12
Points
45
O

omega_

Member
Joined Dec 3, 2018
12 45
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264
 
Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
408
Points
500
Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
408 500
Sijapenda style yako. Unaanzisha threads 5 za aina moja. Why???

Kama unachanganya threads kiasi hiki uhasibu utauweza kweli??
 
Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
408
Points
500
Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
408 500
Unazingua bana, threads 11 za kitu kilekile why??
 
Geniustin

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
3,441
Points
2,000
Geniustin

Geniustin

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
3,441 2,000
Nenda Advance ukimaliza, ndo utaenda Chuo kusomea hiko unachokitaka.

Ukisema uende Chuo now, ukasomee uhasibu, hapo unaweza kuanzia Certificate...sasa umalize Certificate, uje Diploma, uende Degree. (Miaka hiyo balaa).

Soma Advance, ni nzuri. Itakutoa haraka.
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
629
Points
500
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
629 500
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264
Kama unataka kusomea UHASIBU, achana na Kidato cha Tano/Sita na achana pia na chuo.

Somea moja kwa moja CPA (T). Nenda ofisi za NBAA zilizo jirani na wewe kwa maelekezo zaidi.

Tembelea mtandao wa NBAA kwa maelezo zaidi.

C

chikuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
270
Points
250
C

chikuyu

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
270 250
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance mambo ni mengi muda ni mchache na kila siku vitu ni vipya na ni vigumu. Je ni wapi niende?1264
.

Pitia hapa ndugu yangu
 
Lakini pia pitia hapa. Utapata mwanga..

Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
629
Points
500
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
629 500
KUMBUKA: Hata uwe na PhD in Accounting Huwezi kuitwa "Accountant" hapa Tanzania mpaka uwe na cheti cha CPA (T).
 
Donald Marcus Hemu

Donald Marcus Hemu

Member
Joined
May 14, 2019
Messages
28
Points
45
Donald Marcus Hemu

Donald Marcus Hemu

Member
Joined May 14, 2019
28 45
Kwani wewe moyo wako unataka uende WAP!!?
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,729
Points
2,000
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,729 2,000
Kwa ushauri Wangu nenda chuo usome certificate ya accountancy kwa mwaka moja, endelea na diploma ya accountancy kwa miaka miwili, ingia degree ya accountancy uipige kwa miaka mitatu, malizia kwa mitihani ya bodi ya cpa.

Au

Nenda advance usomee combination ya E.C.A kwa miaka miwili, ingia degree ya accountancy uipige kwa miaka mitatu, malizia kwa mitihani ya bodi ya cpa.

Nakushauri uende chuo, nilipitia hio njia ya pili siwezi kutumia cheti cha advance kuomba kazi na kuna kazi kibao za ma assistant accountant ambao inabidi uwe na diploma,

Njia ya kwanza iko poa sana, inajenga kukujengea msingi mzuri wa taaluma ya uhasibu toka chini, itakua utarudia kusoma masomo mengi uliyosoma certificate ukiingia diploma, hivyo hivyo utarudia kusoma masomo mengi uliyosoma certificate na diploma ukiingua degree, yani vitu vichache sana vitakua vipya tofauti na yule aloetoka form 6 anakumbana na masomo mengi mapya.

Pia wale wa form 6 wakifika chuo wana ushamba flani hivi wa kuwa na maisha ya Uhuru kitu ambacho huwa kinaweza kuwashusba kitaaluma, mambo hayo wewe utakua umeshayazoea. Pia kuandaa vitu kama assignments, kufanya presentations, kufanya practical maofisini, n.k kwa wale wa form 6 inakuja kitu kipya kabisa ila kwa aliesoma certificate na diploma ni marudio na wala sio kitu kipya
 
Forum statistics

Threads 1,314,321
Members 504,891
Posts 31,823,073
Top