Elimu Waliyonayo Dada Zetu Vyuo Vikuu Haina Maana

kipoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
325
169
Chunguza Wadada Wa Vyuo Vikuu Ambao Tunasema Ni Miongoni Mwa Wasomi Ambavyo Suala La Ngono Wanavyolichangamkia Pamoja Na Kupewa Elimu Ili Wajikomboe Kifikra Lakn Patupu, Kwa Nawapa Pole Hata Wanaowaoa Mabiti Hawa Kwa Kuwa ---- Zao Zimechewa Kupita Kiasi. Kazi Kwenu Wasomi Na Elimu Za Kikuda.

Kiukweli Elimu ni kuelimika na kutumia maarifa ipasavyo!!
 
naona unawawaza sana mkuu kwani wamekufanyaje? Umepanic hadi ukakosea kuandika pole aisee. Ukiona wanakusumbua chukua darasa la saba. Ahahaaa

Ninachowaka Watumie Elimu Zao Vizur Na Si Umalaya Walioendekeza, Cha Zaida Fuatilia Mambuki Ya H I V Kwa Madada Vyuo Vikuu.
 
Ninachowaka Watumie Elimu Zao Vizur Na Si Umalaya Walioendekeza, Cha Zaida Fuatilia Mambuki Ya H I V Kwa Madada Vyuo Vikuu.

kwanza fanya editing ya kazi yako na siku nyingine soma ulichoandika ili kujiridhisha na makosa ya kiuandishi. Kwani wewe elimu yako ni ya kiwango gani hadi uwatamani kina dada waliograduate? Na aliyekuambia wote ni wazinzi ni nani na kwa utafiti upi? Na ni nani anayekusukuma kutaka kuwaoa? Nakushauri tu, kuwa acha tabia za kijiko cha hoteli kuingia kwenye kinywa cha kila mteja otherwise kuwa mpole hadi muoane ndo utajua alitumikaje siku zilizopita.
 
Usomi na umalaya havihusiani hata kidogo....hakuna uhusiano kabisaaa....
 
Ukioa mtu aliyesoma chuo kikuu ni sawa na kula makombo mana wanatumiwa hadi basi
 
kwanza fanya editing ya kazi yako na siku nyingine soma ulichoandika ili kujiridhisha na makosa ya kiuandishi. Kwani wewe elimu yako ni ya kiwango gani hadi uwatamani kina dada waliograduate? Na aliyekuambia wote ni wazinzi ni nani na kwa utafiti upi? Na ni nani anayekusukuma kutaka kuwaoa? Nakushauri tu, kuwa acha tabia za kijiko cha hoteli kuingia kwenye kinywa cha kila mteja otherwise kuwa mpole hadi muoane ndo utajua alitumikaje siku zilizopita.

Aiseee...umeongea vizuri mpaka basi....watu wamewakazania wasomi wa watu utadhani huko mtaani wazinzi hawapo...wanasahau kuwa ule ni mkusanyiko wa watu hivyo lazima kuwe na mkusanyiko wa tabia kama ilivyo sehemu nyingine yoyote...
 
Back
Top Bottom