Elimu: Uwepo mpango maalumu wa kuzi upgrade shule za kata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu: Uwepo mpango maalumu wa kuzi upgrade shule za kata.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gambagumu, Aug 9, 2011.

 1. g

  gambagumu JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  ili kuboresha kiwango cha elimuhapa nchini nashauri serikali kuanza mpango maalumu wa kufanya baathi ya shule za kata kua za kiwilaya, kimkoa na kitaifa kila mwaka.Mpango huu utakua na faida mbalimbali ikiwepo kuboresha elimu na kuimarisha umoja wa kitaifa.
   
Loading...