Erasto..sichila
Member
- Apr 9, 2012
- 78
- 8
Elimu ya tanzania imedumaa na isiyo na mabadiliko siku hiz iki masomo vijana wa form one wanaenda mashuleni bila kujua kusoma ajabu sana hii elimu ni duni kwelikweli lakini ukweli maafisa elimu wamekalia majungu na sio utendaji na hata kupanga waalimu wa kike vituo vya kufundisha kwa ngono yaani anayemukubali kimapenzi afisa elimu anapelekwa eneo zuri hivyo kesho akimwendea afisa elimu anataka asifundishe anapumuzika wiki 6 anaruhusiwa hii pia ni madhara kwa elimu yetu baya zaidi maafisa elimu wanakaa eneo moja miaka hata 2o sehemu moja sasa ni kweli hawezi leta mabadiliko kabisa ya kielimu mfn afisa elimu mbeya juma kaponda amekaa mbeya miaka 20 hivi ataleta mabadiliko gani kielimu kama siyo kugeuka mwanasiasa nimewahi shuhudia live akiwatukana wenyeji wa mbozi magharibi tarafa ya msangano kuwa wenyeji wa kule wana mtindio wa ubongo na ndio maana ni wa chawi na hawata kaa wa badilike kielimu sasa afisa elimu wa namna hiii ataleta mabadiliko gani we ,kawambwa waziri elimu mbona unasinzia hamisha maafisa elimu hawa ili kuleta mabadiliko ya maendeleo ya elimu