Elimu ni uwezo na si cheti

Said maneno

Member
Aug 2, 2011
38
2
Hakika wengi 2lichangia na kufurahia kauli mbiu ya kufanya ELIMU KUWA UWEZO NA SI CHETI,sasa kwanini wengi mnalaumu waliopata dvs3 kupata mkopo na wale wa divs 1 kukosa,TUTAFuTE NJIA YA KUTATUA TATIZO NA SI KULAUMU PASINA MAANA.MANENO MENGI NA MWISHO WA SIKU WALIOKOSA WANAISHIA patupu.NA KINGINE SI AJABU NA SISI WANAFUNZI HATUKUWA MAKINI KTK UJAZAJI NA UOMBAJI WA MIKOPO MANA M2 kapata medicene na wote wanapata 100 lkn ye kakosa je nani alaumiwe.
 
fungua ubongo ikiwezekana kwa spana tena,ka huna tool box nambie nkutumie kwenye PM.................huh
 
fungua ubongo ikiwezekana kwa spana tena,ka huna tool box nambie nkutumie kwenye PM.................huh
<br />
<br />
tatizo unaangalia upande mmoja wa shilingi,hivi kwanza unajua ya kwamba waliopata dvs 3 ni wengi kuliko 1n2,na watoto wengi wa masikini ni 3 hasa wale wa science ktokana na ugumu wa masomo pamoja na ukosefu wa pesa za kuendeshea masomo yao na shule zenyewd ndo hivyo tena.think twice n zen hoji na toa soln nini kifanyike na sio kulaumu tu.
 
Kwani wenye division 3 sio watanzania kama watanzania wengne. Wote wana haki sawa. Tatizo sio division swala ni bajet haitosh, kwisha.
 
Kwani wenye division 3 sio watanzania kama watanzania wengne. Wote wana haki sawa. Tatizo sio division swala ni bajet haitosh, kwisha.
<br />
<br />
afadhali uwaeleze mana kunakoendelea wale wa dv1n2 waliokosa mikopo watakosa support kutoka kwa wale waliopata 3 na wanamkopo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom