Elimu na ukuu Wa chuo.

lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
12,574
26,201
Wakuu,hivi inaleta maana kweli kuwa na mkuu Wa chuo mwenye ka-degree (Baccalaureus) pekee..huyohuyo aje kutunuku watu PhD..
Inaleta maana kweli au ndio dharau dhidi ya watu waliosoma wakaelimika na maelimu yao makubwa???..
 
Back
Top Bottom