Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Tumekusikia mkuu...ni ukwel ambao wengi hawataki kuuskia....kwa hyo unataka kunambia huyu jamaa kwa jina la Carlos Jackal anaendeshwa na mke ila anaona sehem ya kujifarij ni hapa JF maana mara nying anajifanya ana uwezo wa kuhandle mwanamke aliemzidi kipato na elimu
Hahaah huyo anaonekana ana stress nyingi sana maana huwa anashinda hapa JF hakuna siku nimeingia Jukwaa la Mahusiano na urafiki nimkose
 
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.

Hakuna watu wanafiki kama wanaume waliooa wanawake wenye vijielimu na viajira. Wataigiza igiza watakudanganya kua ndoa ziko imara ila ukweli ndoa za kuoa mwanamke mwenye kiajira na kaelimu HAZINA AMANI HAPA PUNJE. Ni mashindano, kutunishiana misuli, migogoro isiyoisha nk.

Mwanamke hakuumbwa kua mmiliki wa mali akipata kamali kokote lazima ajimwambafy mpaka akhera kumsikie. Hata hawa vifeminist vya humu jf vikina cariha , Miss Natafuta nk hivi vyote utakuta ni vinesi na vimwalimu vya shule ya msingi. Mwanamke hata awe na kamshahara ka laki sita atajimwambafy kejeli na dharau utadhani CEO wa Microsoft haa ha ha

Kijana oa mwanamke mrembo, mwenye elimu ya kawaida na asiye na ajira utakuja kunishukuru hawa wenye masters wacha waolewe na masters zao. Kuna jamaa yetu alikua anajifanya mr. malove love akaoa kamwanamke kamwanasheria kana masters waliachana ndani ya miaka 2 tu.

Usioe mwanamke mwenye ajira eti kusaidiana maisha, kwanza kwa vijihela vyake vya kununulia chupi atakudharau, atakusimanga, na wala hata kusaidia kwa lolote wanamake ni wabinafsi wa kutupwa. Oa mwanamke utakae mhudumia na kumtunza ATAKUHESHIMU na automatically UTAMPENDA na hivyo ndio ilipasa kua.

Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda sema kama 38 kuendelea hua wapweke sana, na kwa hasira na uchungu wao huwajaza sumu wasichana wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.


=====

Kupata maoni zaidi soma:Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!
Sijajua kuhusu hao wanawake wengine uliowa-tag.

Lakini kuhusu huyo cariha nadhani humjui vizuri. She is far beyond what you think she is. Tangu nifahamiane na kukutana naye physically sijawahi kujutia. Kwa uchache tu, huyo binti ni msomi, ana akili (tofautisha usomi na akili), mpole, ana adabu (tofautisha upole na adabu), mkarimu, anasikiliza kuliko kuzungumza, ana pesa n.k.. n.k.. n.k..

Shida yetu wanaume wa humu ndani ni kwamba tukifahamiana na hawa mabinti huwa tunawaza kuwachakata tu, wakikataa tunaanza kuwa-offend wrongly. Humu ndani kuna wadada waungwana na wanaojielewa sana, tena ukiwatumia vizuri unaweza hata kuongezeka kiuchumi, siyo kwa kuwa marioo, la hasha! Bali kwa kuweka mezani mazungumzo yenye tija kibiashara n.k.

Tuache ghiliba za nyani mzee za kudhani kila mwanamke humu ni feminist, tujifunze kutofautisha mwanamke anayejiamini na mwanamke feminist.

I am out.
 
Ndo maana walitusomesha ili tusinyanyasike....mimi bibi yangu hana sikio moja mpaka sasa alimfuma babu na kimada akazira hakupika skan babu kurudi anakuta msosi tee eti bibi kajinunisha alilambwa panga la sikio
Ni kweli kabisa, mtu anamnyanyasa mkewe kisa hana kazi na hata hawezi fanya lolote,na unakuta mme mwenyewe hajielewi ni muda gani anatakiwa kuwa Mme ubabe tu na ukiona mwanaye anawivu kupitiliza utasikia unakosa nini tambua kabisa ni dhaifu anajihami wasimchapie huko!
 
Chenye hasara hakikosi faida MKUU. Nimeshudia kisa Cha kwel ktk hili. Mume alikua na kila kitu na alimwachisha make Kaz. Make akawa wa nyumban tu. Kila ktu anapewa. Mume akafa gafla. Na yule mama alikua hajui ktu chochote kwenye mirad.

Baada ya Ile hali make akaanza kusimamia mirad. Na mda si mrefu mirad ikafa yote. Mama akaanza kuish maisha ya shida sana. Lakn kama make angekua kazn angetunza watoto vzr
Hata huko alikolala Mungu anamsuta, huwa wanajitoa ufahamu na kujiona wanamkataba na Mungu
 
Uko sahhi sijaoa ila Nina mto wa kike ingawa siwapendi wanawake wenye elimu kubwa kubwa

Kuna demu mmoja Ni advocate Ni single mam siku moja akanimbia Mr goroko Kwan nn usinioe tulehe mtot wako na wangu kwa pmj Mr goroko kidogo nidondeke hapo nikitazam tu maongezi yake nikataa tamaa sna to much knows ndio maana akaachiwa mtot siyo kwa bwebwe hzo nikasema moyoni Yule mwanume siyo buree akaingia mitini
Nawewe huyo mzazi mwenzio kwanini haukumuoa? Kwahiyo unamnyanyapaa wakati na wewe kuna uliye mwacha huo ni ubinafsi mkubwa
 
Nyenye nyenye nyenye mnaongea tu vitendo ziro utaweza kusomesha wadogo zangu wewe ukahakikisha wanapata mahitaji yote wengine kwetu hakuna wasomi wala wenye hela mzazi kaangaika kunisomesha ili ata niwasaidie kwa chochote
Afu uje useme niache kazi niwe mama wa nyumbani utahudumia wewe wazazi wangu
watu wenyewe mkipata vihela mnawaza muongeze wanawake upuuzi
wanawake waliosoma wataolewa na wasomi wenzao na wanawake wenye kazi wataolewa na wanaume wanaojitambua wenye kazi pia
Tena hapo penye kusaidia wazazi utasikia sijaoa ukoo wala familia nimekuoa wewe, sasa kila mtu ajikune pale mkono unapofika si kutumia kijiti
 
Chenye hasara hakikosi faida MKUU. Nimeshudia kisa Cha kwel ktk hili. Mume alikua na kila kitu na alimwachisha make Kaz. Make akawa wa nyumban tu. Kila ktu anapewa. Mume akafa gafla. Na yule mama alikua hajui ktu chochote kwenye mirad.

Baada ya Ile hali make akaanza kusimamia mirad. Na mda si mrefu mirad ikafa yote. Mama akaanza kuish maisha ya shida sana. Lakn kama make angekua kazn angetunza watoto vzr
Inaweza kuwa wangekufa wote wakaacha watoto so unataka kusema kuwa maisha yasingeelea mwana
 
Back
Top Bottom