Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Mhn!

Labda kama wanachagua sana!

Lakini siyo rahisi mwanamke kukosa Mwanaume!

Sema mwingine hayuko tayari kuwa na Mwanaume wa aina yoyote sababu anajithamini nafsi yake .

Hataki kujirahisisha

Sema kumpata mwenye hisia naye na wa kupendana Kwa dhati ndio inahitajika neema ya Mungu lakini hawa wa kawaida tu wakuzugia mbona wapogo tu !

Kwa hiyo usije ukamuona mwanamke yuko single ukazani amefulia amekosa wa kumtaka hamnaga hiyo bali ni maamuzi tu!

Mwingine katendwa pakubwa sasa ameamua ajipe muda kwanza Kwani ngono siyo kila kitu.
Hao unao wazungumzia ww ukiwafuatilia wana list ya bodaboda na viben ten wanao wa sugua papuchi.

Ngono si kila kitu kama hujaonja aka bikra, ila ukisha onja lazime atalitafuta rungu la kipepe tena kama hao age imeenda lazima watumie hela tu na ndipo bodaboda na viben ten vina ingia kazini.
 
Vipi kwa upande wako, je mtoto wako wa kike hutoitaji awe na elim kubwa au ajira ili tu aolewe?
 
Wewe mwanamke kakuzidi mihela huko kujiamini kunatokea na wapi....ni sawa na mwanamke ambae hana tako au elimu atajiamini vipi? Angalau uwe na kimoja wapo ndio utajiamini
unajiamini tu, mwanaume ni mwanaume, fanya majukum yako kwa uwezo wako. Kama hatokuheshimu jua umeoa gume gume
 
unajiamini tu, mwanaume ni mwanaume, fanya majukum yako kwa uwezo wako. Kama hatokuheshimu jua umeoa gume gume
Wewe unaleta somjo tuu. Majukumu ni kitunza familia...sasa ndalama ya kutunza familia huna huo uanaume unautoa wapi🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza mlivyo wachungu na hela zenu...eventualy tuu utataka kidume mwenye mihela zaidi yako
 
Wewe unaleta somjo tuu. Majukumu ni kitunza familia...sasa ndalama ya kutunza familia huna huo uanaume unautoa wapi🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza mlivyo wachungu na hela zenu...eventualy tuu utataka kidume mwenye mihela zaidi yako
mnakariri tatizo, hivi we unapata laki 8 mimi 1.5 mil, nishindwe kununua chakula ndani wakat wewe unalipa kodi na ada?
 
mnakariri tatizo, hivi we unapata laki 8 mimi 1.5 mil, nishindwe kununua chakula ndani wakat wewe unalipa kodi na ada?
Yaani wewe unapata mara mbili zaidi ya gu alafu wewe baadala ya kubeba jukumu la ada na kodi unachukua hilo la chakula🤣🤣🤣🤣 typical female behaviour!
 
Yaani wewe unapata mara mbili zaidi ya gu alafu wewe baadala ya kubeba jukumu la ada na kodi unachukua hilo la chakula🤣🤣🤣🤣 typical female behaviour!
sasa we hujui hesabu kumbe, hamna kitu kinatumia hela kama chakula uliza popote, tena m nataman sana nwe na atakayenipa jukumu la ada na kodi mbona mana naona ni rahisi kuliko chakula
 
ona ss yani watoto wapate utapiamlo kisa ubahiri wako, haya basi na kodi si elf 50 na ada primary bure sekondari haifik laki, hapo vipi?
Mhm watoto waende primary bure huko mbele i tutakuwa na watoto vilaza bibie...wee tugangamale tuu hiyo 1.5 fuoeleke watoto shule nzuri. Hizi za kata tutaishia kulia huko mbeleni achana na somjo za wanasiasa
 
Pia watoto wale balanced meal sio mawali maharage ili wapate afya ya akili na kufanya vizuri
Sawa wife nimeelewa tutaongeza matunda hapo na mbogamboga...sasa usisahau kwenda kumalizia ile ada maana mwalimu mkuu amenipigia simu hapa nukumbushia🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE.

Hakuna watu wanafiki kama wanaume waliooa wanawake wenye vijielimu na viajira. Wataigiza igiza watakudanganya kua ndoa ziko imara ila ukweli ndoa za kuoa mwanamke mwenye kiajira na kaelimu HAZINA AMANI HAPA PUNJE. Ni mashindano, kutunishiana misuli, migogoro isiyoisha nk.

Mwanamke hakuumbwa kua mmiliki wa mali akipata kamali kokote lazima ajimwambafy mpaka akhera kumsikie. Hata hawa vifeminist vya humu jf vikina cariha , Miss Natafuta nk hivi vyote utakuta ni vinesi na vimwalimu vya shule ya msingi. Mwanamke hata awe na kamshahara ka laki sita atajimwambafy kejeli na dharau utadhani CEO wa Microsoft haa ha ha

Kijana oa mwanamke mrembo, mwenye elimu ya kawaida na asiye na ajira utakuja kunishukuru hawa wenye masters wacha waolewe na masters zao. Kuna jamaa yetu alikua anajifanya mr. malove love akaoa kamwanamke kamwanasheria kana masters waliachana ndani ya miaka 2 tu.

Usioe mwanamke mwenye ajira eti kusaidiana maisha, kwanza kwa vijihela vyake vya kununulia chupi atakudharau, atakusimanga, na wala hata kusaidia kwa lolote wanamake ni wabinafsi wa kutupwa. Oa mwanamke utakae mhudumia na kumtunza ATAKUHESHIMU na automatically UTAMPENDA na hivyo ndio ilipasa kua.

Wanawake wasomi na wenye hela wasioolewa na umri umekwenda sema kama 38 kuendelea hua wapweke sana, na kwa hasira na uchungu wao huwajaza sumu wasichana wadogo ili nao waharibikiwe kawa wao.


=====

Kupata maoni zaidi soma:Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!
Kweli kamanda!
 
Back
Top Bottom