Elimu na Kazi

Mkillindy

Member
Sep 14, 2011
37
4
Vijana wanajitahidi sana kusaka elimu pasipo kuangalia kuwa wapi watapata kazi.
Yap, vizuri ila jiulizeni mtafanya wapi kazi ndo muisake elimu kwa hasira.
 
tatizo sio wapi kuna kazi bali hatujengwi wala hatujijengi kifikra kuwa ni jinsi gani tutaweza kubuni kazi zetu wenyewe kutokana na elimu tunazopata.
Kila kitu kinawezekana ila ukijenga imani kuwa vitu ni vigumu basi jua kuwa utashindwa tu.
Kwa mfano hawa vijana wa Jigambe, ingawa ni wadogo kiumri lakini mbona wametumia elimu zao walizopata na wameweza kubuni systems ambazo kwa sasa zinafanya kazi na kila mtu anaweza kuzitumia na kunufaika?
Tembelea www.jigambe.com na www.jigambeads.com uone na uelewe kuwa mambo yanawezekana.
 
ni kweli mikoani kazi zipo lakini sio kuwaza jinsi ya kuajiriwa tu, bali tuumize vichwa kujiajiri pia. popote tunaweza kubuni miradi na kujiajiri.
Mfano wangu ni kwa hawa vijana wa Jigambe ambao ni Watanzania. Wamewezaje?
www.tanzaniakwetu.com ni mfano wa site ya kitanzania iliyoundwa na kuendeshwa na watanzania waliojiajiri.
 
Back
Top Bottom