Elimu maalumu kwa mzazi mtarajiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu maalumu kwa mzazi mtarajiwa

Discussion in 'JF Doctor' started by health, Oct 5, 2012.

 1. health

  health JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  KWA MAMA MJAMZITO
  Kwa mwanamke hasa anayependa mimba yake anashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni, kunywa maji mengi ili kupunguza kuvimba miguu na kupata magonjwa yasiohitajika. Pia mama mjamzito anashauriwa kula mboga nyingi za majani na matunda ili kumsaidia kuongeza damu. Mama huvuja damu nyingi wakati wa kujifungua hivyo kiasi kikubwa cha damu hupotea. Mama mjamzito pia hutakiwa kuwa na kiwango kizuri cha madini ya calcium mwilini ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya mama mwenyewe na mtoto aliye tumboni. Madini ya calcium hutoka katika mifupa ya mama na kwenda kwa mtoto.

  USHAURI
  Unashauriwa kula mifupa kwa wingi ili kupata madini ya calcium ambayo humsaidia mtoto tumboni ambapo atazaliwa akiwa imara. Mtoto akikosa madini ya kutosha huzaliwa akiwa dhaifu kama ambavyo tuonavyo watoto wengine. Vilevile unashauriwa kula mafuta ya samaki husaidia kuzaa mtoto mwenye akili nzuri sana. Madini ambayo yanatakiwa ni ya Omega 3 samaki ambao hupatikana chini kabisa ya kina cha bahari husaidia kujenga ubongo wa mtoto na kuwa wenye akili nzuri sana. Watoto wanaokosa madini muhimu kama haya huzaliwa wakiwa na upungufu katika ufanyaji kazi wa ubongo(watu wengine huita watoto wenye mtindio wa ubongo). Pia mama anatakiwa kula mboga za majani za kutosha pamoja na matunda ili kuongeza damu mwilini sababu motto anakuwa akihitaji damu na pia mama hupoteza damu wakati wa kujifungua. Hilo la kuongeza damu wamama wengine hununua Ribena madukani na kutumia. Zile siyo nzuri kutokana na kuwa utengenezwaji na uhifadhiwaji wake siyo mzuri. Pia mboga za majani tunazokula nyingi zinalimwa kwenye udongo ulioharibiwa na kemikali za aina tofauti pia matumizi ya madawa kwa ajili ya kuua wadudu husababisha kutopata vile virutubisho vinavyotakiwa na badala yake tunakula vyakula vyenye madhara.

  Namna ya kuweza kupata virutubisho muhimu vinavyokosekana ni kwa kutumia vitu mbadala.

  Field of greens
  Hiyo ni bidhaa muhimu yenye mchanyanyiko wa mboga za majani zaidi ya sita, ina virutubisho muhimu kwa ajili ya kuongeza damu, kuondoa sumu mwilini na kuboresha seli za mwili pia husaidia sana mama mjamzito kuwa na damu nyingi.

  ARTIC SEA
  Imetengenezwa kwa aina tatu za mafuta ya samaki yaitwayo Omega. Omega 3(Liloleic Acid), Omega-9(Oleic Acid) pamoja Omega-3(Linolenic Acid) yenyewe husaidia sana katika mwili pia imeongezewa mafuta ya Zeituni-Olive oil(Omega-9). Hayo ni mafuta hutoka katika bahari isiyochafuliwa ya Arctic.
  Umuhimu wake:
  Matatizo ya moyo sababu huondoa cholesterol, shinikizo la damu, hupunguza madhara ya pombe, kusambaa kwa kansa, vimbe za miguu(Athritis), huongeza kasi ya seli za binadamu, matatizo ya ngozi(Psoriasis & Eczema), kupooza, kupata hedhi isiyokuwa na mazagazaga(premenstrual syndrome), Mtindio wa ubongo hasa kwa watoto wanaozaliwa hii hurekebisha ubongo wao tangu wakiwa tumboni mwa mama. Hivyo mama anashauriwa kutumia angalau tembe 4 kwa siku.

  CALCIUM
  Hiyo ina madini ya calcium kwa wingi ambayo husaidia kuimarisha mifupa ya mtoto aliye tumboni na mwenye afya iliyoimarika. Mtu alikila hiyo suplimentary ni sawa na mtu aliyekula calcium ya mifupa robo kilo kwa tembe moja tu. Unashauriwa kutumia angalau tembe 4 kwa siku.

  B 12
  Hiyo husaidia kuzibua mishipa ya damu iliyozibwa na mafuta hivyo kufanya damu kutokutembea vizuri mwilini na kusababisha mtoto kutopata chakula cha mama yake akiwa tumboni hivyo kutoka akiwa na afya dhaifu au utapiamlo. Hivyo mama anashauriwa kutumia tembe 4 kwa siku ili kusambaza damu mwilini kote hasa inayopelekwa kwenye mfuko wa uzazi wa mama.
  Kwa kawaida afya ni jambo muhimu sana la kuzingatiwa na kila mtu kuanzia mtoto akiwa tumboni tatizo tu ni watu kutopata huu uelewa. Ni nani asiyependa afya njema? Upatapo elimu hii tafadhali usiwe mchoyo kumsababishia na mwingine aelewe. Pia ukihitaji hizo food supplements niandikie kwenye email: ishealthy@hotmail.com
   
Loading...