Elimu kwa njia ya mtandao

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
Serikali ya tanzania inampango wa kuanzisha kutoa elimu ya juu kwa njia ya mtandao ili kulabilian na tayizo la wahadhiri. Proffesa Wilbard Abeli Mkurugenzi wa Elimu ya juu Tanzania amesema hili leo mnazi mmoja kwenye maonyesho ya WIzara ya Elimu. wadau mnaonaje huo mfumo uitafanikiwa?
 
Utafanikiwa sana na pia utaongeza idadi ya kura za CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kwasababu watu wataona kuwa serikali yao inawajali.
 
Back
Top Bottom