Elimu kupelekwa tamisemi tabu tamisemi

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Habari za mchana
TAMISEMI,ni taasisi yakiserikali ambayo inasimamia mambo mengi mojawapo likiwa ni elimu.Kabla ya,sekta ya elimu kuingizwa TAMISEMI,wataalamu walishauri elimu isiingizwe.Tulioko kwenye elimu,kunamatatizo ambayo yanashindwa kutatuliwa wilayani mfano-
. walimu kuchelewa kupandishwa madaraja
.Walimu tunafanya kazi hatuna vitambulisho vya kazi
Haya ni baadhi,lakini inasikitisha elimu kuwa na changamoto ndogo kiasi hicho,hebu tusaidieni kututatulia matatizo tupandishwe madaraja kwawakati.
 
hiyo ndio local government, mambo yao yako ki local.kuwa mvumilivu
 
Wizara ya elimu wamebaki kama watunga sera, kweli serikali hii ya ajabu sana tamisemi wanamambo mengi ya kufanya
 
Back
Top Bottom