elimu kuingiliwa na siasa,mtavuna mlichokipanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

elimu kuingiliwa na siasa,mtavuna mlichokipanga

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr Mayunga, Sep 9, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wizara ya elimu mtavuna mlicho panda,mwezi uliopita mlizifunga shule zenu sasa chakushangaza mmetoa ratiba za mock form two ambayo inaanza tar 17,ambayo watahiniwa wataijua shule zikifunguliwa.hivi mnatupeleka wapi nyie serikali,hapohapo kunavyuo vinakuja kufanya field mf shule niliyopo ina form 1 na 2 mitihani ikianza maana yake form one hamna kusoma kutokana na uchache wa madarasa,bado hamjaishia hapo mnataka mtihani wa taifa wa darasa la saba eti walimu wa sekondary ndio wakasimamie,shauriyenu.
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Siasa ilishaharibu mfumo mzima wa elimu yetu, ndio maana elimu inazidi kushuka kila uchao.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Toeni CCM Madarakani haraka. Ni janga la Taifa.
   
Loading...