Mlamba Chumvi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 403
- 381
Hebu jaribu keleza kile ulichojifunza.
Mdada hujambo?Hiyo ni tafsiri kwamba kila mbabe ana mbabe wake.
Sijambo kabisa Kaka.Mdada hujambo?
Hii picha ulioweka naipenda sana, sijui kwanini uliitoa, naona umeiweka tena. Usiitoe naipenda dadaSijambo kabisa Kaka.
Ndio Kaka nimeiweka tena. Usijali ndio imefika Kaka siitowi tena. 🙏🙏🙏🙏Hii picha ulioweka naipenda sana, sijui kwanini uliitoa, naona umeiweka tena. Usiitoe naipenda dada