Mligo Augustino
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 126
- 278
Mfumo mpya wa Elimu nchini Kenya unamtaka mwalimu mkuu wa shule ya msingi awe na degree. Na headmaster wa sekondari lazima awe na Master's degree.
Mbona kawaida kabisaHapa watakwepa na kupita kimya kimya. Geza Ulole taraatibu ya elimu Tanzania iko vipi?
hehehe,mzee kipala yupo yupo...Kwetu bado tupo bize na
Kupega msasa vilaza wa 4m4
HahahahaMbona kawaida kabisa
Walimu wa sekondari, tena wa kawaida tu siku hizi wana masters,
Na hata Headmasters wote kwenye shule nilizosoma walikuwa na Masters,
Sasa kama nyie ndio mnaanza Leo basi mmechelewa!
Shule ya msingi! OkMfumo mpya wa Elimu nchini Kenya unamtaka mwalimu mkuu wa shule ya msingi awe na degree. Na headmaster wa sekondari lazima awe na Master's degree.
Tatizo ni kwamba wakenya wengi hawaijui Tanzania, hii ni kutokana na ukweli kwamba wakenya wanapenda sana kuandika na kutangaza sana mambo yao ya ndani, kwa hiyo ni rahisi sana kupata taarifa na kujua kinachoendelea Kenya kuliko Tanzania.Hapa watakwepa na kupita kimya kimya. Geza Ulole taraatibu ya elimu Tanzania iko vipi?
Kwa hili ninaomba kutofautiana na wewe, kwani huko vijijini hakuna watanzania wanaohitaji huduma ya daktari bingwa?, au mtu akishakuwa na elimu kubwa hapaswi tena kuwahudumia watu na sehemu alikozaliwa na kukulia?, hivi kama wewe umezaliwa na kusoma kijijini, leo unaona aibu kurudi na kuwafundisha watoto wa kaka na dada zako kule kweni eti kwa sababu una degree na kijijini kwenu hakuna tena hadhi ya wewe kuishi huko?, mwalimu Nyerere aliwahi kusema..hii elimu yenye mawazo ya kikoloni inawaandaa vijana wetu kuwakimbia wazazi wao badala ya kurudi kwenda kuwasaidiaTatizo kwetu ni kuwa sekta ya elimu na afya havijapewa uwekezaji wa kutosha. Fikiria graduate umpeleke Ikwiriri huko hakuna nyumba ya kufikia, umeme wala maji kwa mshahara wa laki tano si bora akafundishe au kutibu private
Wewe ni kichaa nilishakuambia, issue ni walimu wenye degree au ni perfomance?, lete data zinazoonyesha kwamba hakuna mwalimu mwenye degree ktk primary schools za Tanzania, kwani perfomance ya wanafunzi inategemea waalimu pekee?.. tatizo umepanic sana kuona nchi lenu linadidimia kila sectors umeanza kupiga kelele hovyo mitandaoni, na bado mtaisoma namba zaidi.hoo sijui sisi tuliweka degree kitambo, hoo sijui nini, watu wengine ukiwaacha waongee watajikuza utadhani wako mbali sana,
Tuangalia data si kushabikia tu bila ushahidi,
http://www.twaweza.org/uploads/files/2013 Annual Report Final Web version.pdf
2013 report
Wanafunzi wa Tz hata wawashindi wanafunzi wa Kenya kwa kiswahili cha darasaani
View attachment 645266
Wanafunzi wa Kenya maskini wanaosomea vibandani na mabatini hawana tofauti kubwa na wanafunzi matajiri , (ile laptop roject ingefanyikiwa ingeondoa hio gap kabisa!!) infact, wanafunzi maskini Kenya wanaperform same level na wanafunzi Tajiri wa Tz
View attachment 645267
View attachment 645268
Overaals, Tanzania na Kenya zimeshikana kwa hisabati
View attachment 645269
Alafu mnataka kutuambia eti walimu wenu huk Tz wako na degree? degree gani hizo mbona hazi reflect kwa majibu ya wanafunzi, Huku Kenya walimu wengi haswa shule ambazo si national waako na diploma au higher diploma, lakini huwaaaaa wako na more than 10years experience, akumbuka ile shule niliyofanya KCSE, n mwalimu mmoja pekee ndo alikua na degree(English lierature)
Uwezo report 2015 -most recent
http://www.twaweza.org/uploads/files/Uwezo_EA_Report-EN-FINAL(1).pdf
Mtu mwenye degree anafaa awe na more to offer than mtu mwenye hana degree, and it there is no better performance then why even bother on forcing teachers to have degrees kama walimu wa diploma wanatoa better performers kuliko walimu wa degreeWewe ni kichaa nilishakuambia, issue ni walimu wenye degree au ni perfomance?, lete data zinazoonyesha kwamba hakuna mwalimu mwenye degree ktk primary schools za Tanzania, kwani perfomance ya wanafunzi inategemea waalimu pekee?.. tatizo umepanic sana kuona nchi lenu linadidimia kila sectors umeanza kupiga kelele hovyo mitandaoni, na bado mtaisoma namba zaidi.
Sasa swali unalofaa kujiuliza ni Tanzania ina uzembe kiasi gani mpaka inashindwa kielimu na nchi ilio na matatizo kiasi hiki ! You guys must be the stupidest people ever, hata Somalia itakuja wapitaCorruption in Schools and Universities in Kenya
Nchi iliyojaa uvunda wa ukabila na rushwa hadi chooni kiasi hiki, bado mtu anafungua domo kuitetea, hovyo kabisa