Elimu juu ya King'amuzi cha TING

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Jamani habari...naomba nipewe elimu kuhusu king'amuzi hiki..nimeona tangazo lao la promotion.nikashawishika kununua naomba kujuzwa na wataalam wa mambo je nikizuri sana au huduma na chaneli zake ni zipi?
 
ushauri wa bure .. achananacho nunua Continental satellite au azam
 
Back
Top Bottom