Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

Mkuu,baada ya wewe kuleta hili bandiko zuri hapa tumependa kufahamu mambo kadhaa lakini cha kushangaza unajibu kifupi mno kiasi cha kuacha maswali ukizingatia ni miezi miwili nasubiri jibu

1.Mbona hujanijibu kwa mtiririko nilipouliza hapo juu?

2.Kwanini huweki wazi bei ya huduma zenu maana nimeona wadau wengi tu wameuliza?hata kama ni vigumu unaweza kusema kamba kwa huduma Fulani inanzia kiasi Fulani hadi Fulani kutokana na tatizo husika.

3.Pia kama hushughuliki na hii huduma kwa sasa au lengo la Uzi ilikua kutoa elimu sio mbaya ukituambia pia.
Ahsante.
Ndio, Huduma huanzia clinic baada ya hapo vinachukuliwa vipimo vinapelekwa maabara ya meno bandia, na kutengeneza crown juu ya implant.
 
Mkuu,baada ya wewe kuleta hili bandiko zuri hapa tumependa kufahamu mambo kadhaa lakini cha kushangaza unajibu kifupi mno kiasi cha kuacha maswali ukizingatia ni miezi miwili nasubiri jibu

1.Mbona hujanijibu kwa mtiririko nilipouliza hapo juu?

2.Kwanini huweki wazi bei ya huduma zenu maana nimeona wadau wengi tu wameuliza?hata kama ni vigumu unaweza kusema kamba kwa huduma Fulani inanzia kiasi Fulani hadi Fulani kutokana na tatizo husika.

3.Pia kama hushughuliki na hii huduma kwa sasa au lengo la Uzi ilikua kutoa elimu sio mbaya ukituambia pia.
Ahsante.
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kwa kipindi kirefu nimekuwa nje ya mtandao.
Pili kuhusu Bei ya hayo matibabu, kampuni yetu huwa tunafanya kazi kushirikiana na madaktari wa meno, hivyo swala la bei sisi ipo maalumu na madaktari husika.
Na kila Dr. Ana bei yake hivyo siwezi kujua bei ambayo anatoza kwa matibabu husika.
 
Nashukuru mkuu nimepata ujumbe wako
 
Mkuu weka namba ya huyo dokta nimtafute maana ninajino bandia la plastic linanisumbua kiweka...nataka la hili la moja kwa moja...tafadhali weka namba ya huyo dokta ninashida mkuu
 
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kwa kipindi kirefu nimekuwa nje ya mtandao.
Pili kuhusu Bei ya hayo matibabu, kampuni yetu huwa tunafanya kazi kushirikiana na madaktari wa meno, hivyo swala la bei sisi ipo maalumu na madaktari husika.
Na kila Dr. Ana bei yake hivyo siwezi kujua bei ambayo anatoza kwa matibabu husika.
Lakini mkuu kweli ndiyo iwe vigumu hata kuweka tu KISIO la bei??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom