Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

manigum27

Member
Mar 24, 2017
57
53
Habari wana JF. Kwa mara ya kwanza napenda kutoa Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge).
Meno ama Jino ni kiungo Muhimu sana katika mwili wa Binadamu kama Viungo vingine hivyo ni Vyema kuyatunza na kulinda kama viungo vingine.

Faida za meno ni nyingi ingawa sitaongelea zote kwa undani
1. Husaidia Kwenye Muonekano mzuri wa Sura.
2. Husaidia katika Matamshi ya maneno (Kuongea)
3. Husaidia katika kumeng'enya Chakula.
4...........

*Crown ni nini? Crown ni sawa na Kusema Kofia hili ni Jino ambalo linatengenezwa ili kurudishia sehemu ya Jino ambalo limetoboka na hivyo crown hutumika kuvalisha baada ya kufanyia matibabu ya kusafisha na kuziba kwa Dawa Maalumu.
*Bridge ni nini? Bridge ama Daraja kwa lugha ya Wageni ni Meno ambayo hutegemea meno mengine kushika pande zote mbele na nyuma ya Jino ambalo limetoka.

ZIRCONIA (Crown and Bridge)
Ni Meno ambayo hutengenezwa Maabara kama meno Mengine Tofauti na haya ni Kuwa hayana Chuma kwa ndani
Ni Imara, Mazuri na yana Ufanano wa kiasi kikubwa na meno ya Asili.

* Wapi Unaweza Pata huduma hii?
Huduma hii utaipata kwa Daktari yeyote wa Meno ambaye mwenye Ujuzi na Uzoefu katika kazi ya meno Bandia.

Zifuatazo ni Hatua Ambazo Daktari hufuata hadi kufanikisha zoezi zima la Kuweka meno Bandia ya Moja kwa moja.

1. Hatua ya kwanza ni Daktari Atachonga jino ambalo linatakiwa kuvalishwa Crown ama Bridge Picha zinajionesha.

2. Akishamaliza kuchonga Jino husika atachukua vipimo ambapo Mgonjwa hung'ata ama huwekewa kipimo chenye Dawa maalumu ambayo huchukua Picha ya meno baada ya hapo Vipimo vitatumwa Maabara kwa ajili ya hatua za utengenezaji.

3. Maabara wakipokea Vipimo watatengeneza Mould Ya meno kwa Udongo maalumu ili kupata picha ya meno yaliyotoka na yaliyobakia.

3. Mould ya meno ikipatikana Mtengenezaji huchukua hivyo Vipimo na kuanza kuvifanyia kazi kutokana na maelekezo ya Daktari .

4. Kwa Meno ya Ziconia model ama cast huscaniwa na kubadilishwa kutoka kwenye hard copy kwenda soft copy kwa Vifaa maalumu.

5. Baada ya Kuscan model hufanyiwa design na hatua ya mwisho hutumwa kwenye milling machine ambayo itachonga hayo meno na hatua inayofuata baada Kwa meno ya Zirconia huwekwa kwenye machine ya kufanya yawe Magumu na Imara.
Tayari kwa Matumizi .

Mwisho Meno ni Lulu yalinde, Yatunze na kamwe usithubutu kufungua Soda kwa meno ni Hatari.
Sina cha ziada chini ni moja ya kazi ambazo zinafanyika hapa Kwenye Maabara kubwa Hapa Tanzania na Afrika Mashariki ambayo ipo Dar es salaam.
Tunashirikiana na Dental clinic zote za Dar es salaam na Mikoani na Nchi za Jirani.

IMG_20180730_190344511_HDR.jpg
IMG_20180730_190450198_HDR.jpg
IMG_20180730_190458788.jpg
IMG_20180730_190326868.jpg
IMG_20180730_190413440.jpg
IMG_20180713_121145217_HDR.jpg
IMG_20180702_150531798_HDR.jpg
IMG_20180702_150602251.jpg
IMG_20180730_190441546.jpg
IMG_20180730_190515439.jpg
IMG_20180730_190319838.jpg
IMG-20180720-WA0021.jpg
IMG-20180720-WA0020.jpg
IMG_20180730_185511139.jpg
IMG_20180730_190051516_HDR.jpg
IMG_20180725_174029826_HDR.jpg
IMG_20180730_185353885.jpg
IMG_20180719_180539347_HDR.jpg
 
Nafikiri sio kila daktar ataweza pasipokuwa na vifaa na hospital nyingi hakuna hivyo vifaa
 
Kuna jino linanisumbua hilo la juu kushoto likianza kuuma mpaka kichwa
 
Hayo ya bandia, vipi kama nilitoa meno miaka kadhaa iliyopita, kuchonga watachimba fizi tena?
 
Yapo ambayo unavaa na kuvua Denture,
Pia kuna Bridge pia kuna implant hivyo ni uchaguzi upo nao kwa badget yako kwa ushauri zaidi pata muda unane na Dr. Wa meno atakushauri.
 
Habari wana JF. Kwa mara ya kwanza napenda kutoa Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge).
Meno ama Jino ni kiungo Muhimu sana katika mwili wa Binadamu kama Viungo vingine hivyo ni Vyema kuyatunza na kulinda kama viungo vingine.

Faida za meno ni nyingi ingawa sitaongelea zote kwa undani
1. Husaidia Kwenye Muonekano mzuri wa Sura.
2. Husaidia katika Matamshi ya maneno (Kuongea)
3. Husaidia katika kumeng'enya Chakula.
4...........

*Crown ni nini? Crown ni sawa na Kusema Kofia hili ni Jino ambalo linatengenezwa ili kurudishia sehemu ya Jino ambalo limetoboka na hivyo crown hutumika kuvalisha baada ya kufanyia matibabu ya kusafisha na kuziba kwa Dawa Maalumu.
*Bridge ni nini? Bridge ama Daraja kwa lugha ya Wageni ni Meno ambayo hutegemea meno mengine kushika pande zote mbele na nyuma ya Jino ambalo limetoka.

ZIRCONIA (Crown and Bridge)
Ni Meno ambayo hutengenezwa Maabara kama meno Mengine Tofauti na haya ni Kuwa hayana Chuma kwa ndani
Ni Imara, Mazuri na yana Ufanano wa kiasi kikubwa na meno ya Asili.

* Wapi Unaweza Pata huduma hii?
Huduma hii utaipata kwa Daktari yeyote wa Meno ambaye mwenye Ujuzi na Uzoefu katika kazi ya meno Bandia.

Zifuatazo ni Hatua Ambazo Daktari hufuata hadi kufanikisha zoezi zima la Kuweka meno Bandia ya Moja kwa moja.

1. Hatua ya kwanza ni Daktari Atachonga jino ambalo linatakiwa kuvalishwa Crown ama Bridge Picha zinajionesha.

2. Akishamaliza kuchonga Jino husika atachukua vipimo ambapo Mgonjwa hung'ata ama huwekewa kipimo chenye Dawa maalumu ambayo huchukua Picha ya meno baada ya hapo Vipimo vitatumwa Maabara kwa ajili ya hatua za utengenezaji.

3. Maabara wakipokea Vipimo watatengeneza Mould Ya meno kwa Udongo maalumu ili kupata picha ya meno yaliyotoka na yaliyobakia.

3. Mould ya meno ikipatikana Mtengenezaji huchukua hivyo Vipimo na kuanza kuvifanyia kazi kutokana na maelekezo ya Daktari .

4. Kwa Meno ya Ziconia model ama cast huscaniwa na kubadilishwa kutoka kwenye hard copy kwenda soft copy kwa Vifaa maalumu.

5. Baada ya Kuscan model hufanyiwa design na hatua ya mwisho hutumwa kwenye milling machine ambayo itachonga hayo meno na hatua inayofuata baada Kwa meno ya Zirconia huwekwa kwenye machine ya kufanya yawe Magumu na Imara.
Tayari kwa Matumizi .

Mwisho Meno ni Lulu yalinde, Yatunze na kamwe usithubutu kufungua Soda kwa meno ni Hatari.
Sina cha ziada chini ni moja ya kazi ambazo zinafanyika hapa Kwenye Maabara kubwa Hapa Tanzania na Afrika Mashariki ambayo ipo Dar es salaam.
Tunashirikiana na Dental clinic zote za Dar es salaam na Mikoani na Nchi za Jirani.

View attachment 822978View attachment 822979View attachment 822980View attachment 822981View attachment 822982View attachment 822985View attachment 822989View attachment 822991View attachment 822992View attachment 822993View attachment 822994View attachment 822996View attachment 822997View attachment 822998View attachment 822999View attachment 823000View attachment 823001View attachment 823005
Mkuu mimi jino langu moja la mbele moja lilikatika, Je, naweza kurekebisha likakaa sawa. Napata wapi huduma hii, na gharama zikoje pamoja na kusafisha meno. ??

Mfano wa jinsi lilivyokatika,

Cc manigum27
 
Mkuu asante kwa kutuletea hii huduma,Nina maswali yafuatayo:

1.Mtu akihitaji kufanya dental implant(kuweka Jino la bandia la moja kwa moja ni bei gani kwa Jino moja?kwa ambae tayari yalishang'olewa.

2.Hio huduma ya bridge ikoje sijaelewa?

3.Mnachofanya katika implant ni kama kwenye hizi picha hapa chini?View attachment 1119831
AdobeStock_135145775.jpeg
 
Shukran kwa elimu mkuu, je gharama ya braces ikoje hapo? Yaan mtu ana meno lakini yana nafasi nafasi na anahitaji kubana gharama ipoje?
 
Nahitaji kuweka crown meno 2 ya mbele gharama zake zikoje na Hosp ipi naweza kupata huduma nzuri
 
Mkuu asante kwa kutuletea hii huduma,Nina maswali yafuatayo:

1.Mtu akihitaji kufanya dental implant(kuweka Jino la bandia la moja kwa moja ni bei gani kwa Jino moja?kwa ambae tayari yalishang'olewa.

2.Hio huduma ya bridge ikoje sijaelewa?

3.Mnachofanya katika implant ni kama kwenye hizi picha hapa chini?View attachment 1119831View attachment 1119832
Ndio, Huduma huanzia clinic baada ya hapo vinachukuliwa vipimo vinapelekwa maabara ya meno bandia, na kutengeneza crown juu ya implant.
 
Shukran kwa elimu mkuu, je gharama ya braces ikoje hapo? Yaan mtu ana meno lakini yana nafasi nafasi na anahitaji kubana gharama ipoje?
Tembelea Clinic ya meno yoyote hasa binafsi kwa ajili ya gharama ya kufunga braces.
 
Mkuu mimi jino langu moja la mbele moja lilikatika, Je, naweza kurekebisha likakaa sawa. Napata wapi huduma hii, na gharama zikoje pamoja na kusafisha meno. ??

Mfano wa jinsi lilivyokatika,

Cc manigum27

Inawezekana ukinda kumuona Dr. Wa meno anaweza kukupatia huduma ama matibabu stahiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom