Elimu: Fundisheni Software Coding mashuleni

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,590
8,733
Tanzania tunaomba mfundishe coding kwenye mashuleni na kama hatuna walimu wa kutosha tuombe msaada kwa India. Kazi nyingi zijazo hasa kwenye engineering, design, accounting ... na ubunifu utatokana na kujua coding hii ni lugha ya computer. Vilevile tuelewe 66% ya Watanzania kwasasa wapo chini ya miaka 25 ni wakati wa kuwaandaa hawa. Hapo chini message ya CEO wa Apple

Apple CEO Tim Cook: Learn to code, it's more important than English as a second language
 
Ni muhimu sana kwa kweli.
 
Mimi nilikuja miaka 20 mwaka huu baada tu ya kumaliza Form 6. Ningejua miaka ile ningesoma Coding hata kama nisingetumia kwenye kazi yangu. Bahati nzuri nafanya vizuri tu kama consultant kwenye Healthcare kwa sasa na niliweza kupata degree ya Finance. Vile vile nashauri kuna career nyingi sana kwenye Technology ambazo watu wengi hawafahamu na ninawapa siri hasa kwa vijana.

Hapa duniani kuna sofware kampuni chache kubwa ambazo kama ukiweza kujua software zao unaweza kupata kazi hata ukiwa Tanzania basically ukiwa sehemu yeyote na Mimi nitakupa na wewe unaweza kutumia muda kununua vitabu, kutafuta kwenye internet ebooks, youtube kuna watu wanatoa mafunzo ya bure. Chukua wakati huu wa technology kuwa cheap na badilisha maisha yako badala ya muda wote kupoteza kwenye mijadala ya siasa. Kama wewe ni mwanafuzi wa chuo ndiyo kabisa weka saa moja au mbili Jumatatu-Ijumaa soma dunia inavyoenda na itabadilisha maisha yako.

1.
Functional SAP ERP Modules
  • Human Resource Management (SAP HRM), also known as Human Resource (HR)
  • Production Planning (SAP PP)
  • Material Management (SAP MM)
  • Financial Supply Chain Management (SAP FSCM)
  • Sales and Distribution (SAP SD)
  • Project System (SAP PS)
  • Financial Accounting and Controlling (SAP FICO)
2
The applications found in the Oracle EBS include:
  • Oracle CRM.
  • Oracle Financials.
  • Oracle Human Resource Management System (HRMS)
  • Oracle Logistics.
  • Oracle Supply Chain Applications.
  • Oracle Order Management.
  • Oracle Transportation Management.
  • Oracle Warehouse Management System.
3.Microsoft Dynamics

4. IBM-Maximo

Ukijua hizo hapo ni mwanzo mzuri lakini fanya research uchague moja uende deep na kusoma pragramming language zake. Tafuta sehemu ya kosoma au mtu ambaye anajua akufundishe lakini unaweza kujifunza mwenyewe kwa kutumia video za youtube, mijadala ya wanaofanya kazi kwenye hizi sehemu na iko yote bure. Sisi imetuchukua miaka mingi kutengeneza mishahara mikubwa wakati hizi kazi zinaanzia $70,000 kwa mwaka itabadilisha maisha yako. Kwa vijana msiige kila kitu wengi wetu kwenye hii mitandao ni burudani tayari tuna kazi na wengine ni professors wa vyuo mbalimbali duniani wanapotezea muda huku. Kama ni kijana nakuomba sana invest on yourself kwasababu sio kama wakati wetu ni ngumu kuja nje na form 6 lakini ni rahisi sana kupata kazi kama unasoma vitu ambavyo ni global na ukimaliza kusoma tafuta role model mtu ambaye tayari kafanikiwa kwenye sehemu ambayo unasoma na sio lazima awe TZ search kwenye hizo discussion group za professional halafu omba mtu awe role model. Nashauri tu naomba uchukulie serious hasa kwa vijana nimeona na ninaona mengi na ningependa miaka 20 iliyopita ningepata ushauri huu kutoka kwa mtu sisi tulikuwa tunakimbiwa na wazee wa kitanzania tulivyokuja huku na kujifunza kila kitu wenyewe
 
Tunashukuru ndugu.
Naomba kuuliza hivi....
Kwa aliyemaliza kidato cha Sita na mwenye Bachalor ambaye hajaanza abc yoyote ya computer, aanzie wapi? Nashukuru ndugu!
 
Tunashukuru ndugu.
Naomba kuuliza hivi....
Kwa aliyemaliza kidato cha Sita na mwenye Bachalor ambaye hajaanza abc yoyote ya computer, aanzie wapi? Nashukuru ndugu!
Mimi nakushauri ni vema kwanza ufanye research za hizo software ili uelewe kwa undani vifuatavyo (1) Tofauti ya hizi Software mfano Oracle na SAP ni washindani wanachofanya ni sawa hivyo angalia ipi unaona ita kuwa na uchague sehemu moja mfano Human resources au supply chain. Ukishafanya hivyo tafuta sehemu za kusoma kama nilivyosema kuna groups nyingi sana kwenye internet za watu wanaofanya kazi kwenye haya maeneo na hao wanaweza kukushauri hata zaidi ya mimi. Vilevile kama kuna sehemu wanafundisha ni pazuri pa kuanzia lakini uwe careful hakikisha huyo mwalimu anafundisha vitu ambavyo kweli vitakusaidia kwenye kazi na utajua hivyo kwa wewe kufanya homework yako kabla. kama nilivyosema unaweza kupata vitabu vya ku dowload vya bure kwenye mitandao na youtube classess za bure. Mwisho lazima ujue software zinabadilika na make sure hausomi sofware za zamani . Kama unataka kufanikiwa ni lazima uweke muda maalumu na kuchukulia serious najua vijana wa siku hizi ni ngumu ku focus lakini ndiyo itakutofautisha wewe na wengine... Nikuibie tu kwa motisha huu mdogo wangu alipata jamaa kutoka India akamfundisha 2005 SAP wakati huo ilikuwa inaitwa SAP Warehouse au BI mtaani tu jamaa alikuwa anatumia laptop yake ya kazini kufundisha alimlipa $1200 hivi haikuzidi $1500 lakini alikuwa anafanya mazoezi sana mwenyewe ya mifano . Kwa sasa anatengeneza $100,000 kwa mwaka najua wengi wanapenda pesa lakini inabidi uweke muda na uwe serious. Sina maana na wewe unatengeneza hizo laini ukijua huta kosa $70,000 lakini fanya research kwanza
 
Kamundu
Sikubaliani na wewe!
kwa mtazamo waq Jack Maa wa Alibaba anasema in years to come tunatakiwa tujifunze vitu ambavyo mashine aziwezi kuja kufanya/ au vitu ambavyo machine can not do best.

sasa basi kw amatazamo huo hapo juu ni kuwa Programing soon it will be thing of the past, all this will be done accurate and efficiently with machine/Artificial Intelligence.

Reference:
Soon We Won't Program Computers. We'll Train Them Like Dogs
 
Tatizo letu kubwa vijana wa siku hizi ni kuchukuwa statement na kuzifanya facts. Je unajua sasa hivi huyo Jack Ma ameajiri programmers wangapi? sasa kama sio future kwanini anaendelea kuajiri programmers. Kwasababu hawa wanataka sisi tuwe watumiaji tu wa software na sio wabunifu wa sofware. Vilevile ni lazima tuelewe programming sio kitu ni lugha tu inayotumika kueleweka kwenye computer na kutengeneza software. Hiyo ni kama kiswahili huwezi kuandika kitabu cha kiswahili bila kujua lugha lakini haina maana kwamba kwasababu hujui lugha. Kila mtu ana ubunifu wake na kwasababu watoto wetu hawajui sofware kesho na kesho kutwa hawawezi kuwa na idea ya WhatAPP au Microsoft na ndiyo maana mkurugenzi wa Apple alisema watoto wajifunze sofware. Pili Marekani inaizidi China ni kwasababu ya ubunifu wa Technologia tu ukiangalia kwenye soko la hisa kampuni kubwa sana ni Google, Apple, Facebook, Microsoft, Oracle.... HP, IBM, Dell, zote hizi ni technologia tu hakuwa kampuni hata mmoja ya sofware kubwa kutoka China. Ali Baba ya Jack Ma ni kama Amazon au ebay lakini ukiangalia advantage ya US ni technologia na hasa ni utamaduni wa ubunifu. Lakini huwezi kuweka ubunifu wako bila kujua lugha na lugha ndiyo programming! umenipata hapo. Na mimi nimewapa kampuni hapo ambazo zitakuwepo kwa miaka 40 au zaidi ijayo. Hivi unajua thamani ya kampuni leo hii kwenye dollar Boieng 154.25B, Microsoft 648B, Google $709 B, Amazon 533B angalia hapo na kuna kampuni kubwa za ndege mbili tu dunia nzima Boeing na Airbus . Hivyo usidanganyike sisi huku tunajua 10 years to come nawashauri tu

Cha mwisho ni lazima niwaeleze tu kwamba nchi yetu ni tofauti na solution zetu ni tofauti pia mfano umri wa kati wa USA ni 38 years na Tanzania ni 18 years. Tanzania mfano MPESA ni muhimu kuliko bank kwasababu solution zetu ni tofauti. tujiulize mfano kwenye Afya huu mfumo wa kuwa na Muhimbili moja mtu akiwa kijijini Mtwara anaumwa sana inakuwaje?? au Kigoma inakuwaje? hivyo ni lazima wananchi wetu wawe na capacity na technology ili waweze ku program sofware ambazo zina solution zetu huwezi kufikiria kimarekani ukaja na MPESA mfano lakini je MPESA sio sofware?. Hizi kampuni na hizo sofware ni muhimu kwasababu hujifuzi hizo sofware tu lakini hizi ni kampuni ambazo zinatawala lugha za computer
 
Kukosekana statement ya vijana kujiajiri kwenye maelezo yako kumenipa wasiwasi. Hatutaki kuajiriwa tena tunataka kujiajiri na kuajiri.
uomba sana invest on yourself kwasababu sio kama wakati wetu ni ngumu kuja nje na form 6 lakini ni rahisi sana kupata kazi kama unasoma vitu ambavyo ni global na ukimaliza kusoma tafuta role model mtu ambaye tayari kafanikiwa kwenye sehemu ambayo
 
Tanzania tunaomba mfundishe coding kwenye mashuleni na kama hatuna walimu wa kutosha tuombe msaada kwa India. Kazi nyingi zijazo hasa kwenye engineering, design, accounting ... na ubunifu utatokana na kujua coding hii ni lugha ya computer. Vilevile tuelewe 66% ya Watanzania kwasasa wapo chini ya miaka 25 ni wakati wa kuwaandaa hawa. Hapo chini message ya CEO wa Apple

Apple CEO Tim Cook: Learn to code, it's more important than English as a second language

I make a living as a coder. I can tell you that if you know math, coding is easier. So Tanzania should invest in math skills instead and the rest will take care of itself. And one more thing, Tim Cook doesn't code and so he doesn't know what critical skills you should master as a coder.

As a coder I have learned the hard way. If your native language isn't English, you will need to learn English as a second language and master it. The reason is at the end of the day it's important to communicate what you code.
 
Tatizo letu kubwa vijana wa siku hizi ni kuchukuwa statement na kuzifanya facts. Je unajua sasa hivi huyo Jack Ma ameajiri programmers wangapi? sasa kama sio future kwanini anaendelea kuajiri programmers. Kwasababu hawa wanataka sisi tuwe watumiaji tu wa software na sio wabunifu wa sofware. Vilevile ni lazima tuelewe programming sio kitu ni lugha tu inayotumika kueleweka kwenye computer na kutengeneza software. Hiyo ni kama kiswahili huwezi kuandika kitabu cha kiswahili bila kujua lugha lakini haina maana kwamba kwasababu hujui lugha. Kila mtu ana ubunifu wake na kwasababu watoto wetu hawajui sofware kesho na kesho kutwa hawawezi kuwa na idea ya WhatAPP au Microsoft na ndiyo maana mkurugenzi wa Apple alisema watoto wajifunze sofware. Pili Marekani inaizidi China ni kwasababu ya ubunifu wa Technologia tu ukiangalia kwenye soko la hisa kampuni kubwa sana ni Google, Apple, Facebook, Microsoft, Oracle.... HP, IBM, Dell, zote hizi ni technologia tu hakuwa kampuni hata mmoja ya sofware kubwa kutoka China. Ali Baba ya Jack Ma ni kama Amazon au ebay lakini ukiangalia advantage ya US ni technologia na hasa ni utamaduni wa ubunifu. Lakini huwezi kuweka ubunifu wako bila kujua lugha na lugha ndiyo programming! umenipata hapo. Na mimi nimewapa kampuni hapo ambazo zitakuwepo kwa miaka 40 au zaidi ijayo. Hivi unajua thamani ya kampuni leo hii kwenye dollar Boieng 154.25B, Microsoft 648B, Google $709 B, Amazon 533B angalia hapo na kuna kampuni kubwa za ndege mbili tu dunia nzima Boeing na Airbus . Hivyo usidanganyike sisi huku tunajua 10 years to come nawashauri tu

Cha mwisho ni lazima niwaeleze tu kwamba nchi yetu ni tofauti na solution zetu ni tofauti pia mfano umri wa kati wa USA ni 38 years na Tanzania ni 18 years. Tanzania mfano MPESA ni muhimu kuliko bank kwasababu solution zetu ni tofauti. tujiulize mfano kwenye Afya huu mfumo wa kuwa na Muhimbili moja mtu akiwa kijijini Mtwara anaumwa sana inakuwaje?? au Kigoma inakuwaje? hivyo ni lazima wananchi wetu wawe na capacity na technology ili waweze ku program sofware ambazo zina solution zetu huwezi kufikiria kimarekani ukaja na MPESA mfano lakini je MPESA sio sofware?. Hizi kampuni na hizo sofware ni muhimu kwasababu hujifuzi hizo sofware tu lakini hizi ni kampuni ambazo zinatawala lugha za computer

Kamundu
Shukrani kwa majibu japo yamenipa tabu sana kukujibu maana wakati naomba kujiunga huku niliambiwa nisiwe kama wakule jukwaa la siasa, majibu yamekuwa kama una nishambulia sijuhi kwanini au ndio uelewa wangu.
back to the point:-
Umezunguka na kuandika mengi sana ila nilichogundua au nahisi kuna uwezekano hujuhi tofauti ya:-
1. Coding/programing
2. Software
3. Ubunifu/Innovation.

Narudia na kw akumtumia Jack na Marck :-
wanasema "innovation is an effective way to solve problems with technology. Zuckerberg said innovation is helpful in solving problems in the coming 10 years or more"

So unaweza kuona kuwa Duniani we have problems and what we need are solutions, but we can not get this solutions without Innovation.

So we need to be innovative Only, and solutions will be implemented by the machines/AI.
If you want to be programmer huku ni kujidanganya, hatuwezi kuwa best than machines.
 
Kukosekana statement ya vijana kujiajiri kwenye maelezo yako kumenipa wasiwasi. Hatutaki kuajiriwa tena tunataka kujiajiri na kuajiri.

Thanks Mkuu!
TUJITEGEMEE

Na hilo ndilo nililitegemea analilenga na ndilo nalosisitiza, we need to be Innovative only and we can be successfully.
Coding and programming achia machines, wewe tafuta solution ipeleke kwa programmer atakufanyia kazi nzuri tu.

Jack Ma - Do you want to be successful? IQ, EQ, LQ

Kibanga unaweza kuamini unacho amini mimi nimetoa mawazo na uzoefu wangu. Mimi sipendi kuongelea theories napenda facts na nimetoa facts na ndiyo za watu wanavyoishi kwenye na maisha nilivyoona. Kwa kukaa hapa 20 years tangu Aug 1997 nimeona na kupitia mengi ni rahisi sana kuongea chochote lakini ni tofauti kuishi.
 
You ask Tanzanians to teach their children programming so they can have a bright future. Do you think this is a fact? It isn't. So why do you say that you like to discuss facts not theories.
 
Hapa inabidi kuelewa maana ya elimu hiyo ni nini. Elimu za ufundi zipo za aina mbili: kuna ile elimu ya utekelezaji (trade training), na elimu ya ujumuishaji (academic training). Trade training ni ile ambayo mtu anajifunza kwenda kutumia maarifa yaliyoko sokoni tayari ili kutatua matatizo kama vile kuripea injini za gari, kufanya welding, kujenga nyumba, kuprogram computer kulingana na maelekzo aliyoambiwa na kadhalika. Elimu hii hutolewa na trade schools kama vile VETA, City and Guilds, Community Colleges (USA) na kadhalika. Elimu ya kujumisha ambayo inaendana na digrii ya ama miaka mitatu au miaka minne, huwa haifundishi trades, bali inavuta pamoja mambo mbalimbali ya kumjenga mwanafunzi aweze kufikiria nje zaidi ya comfort zone yake. Elimu hii ndiyo ile ambayo mhusika anatakaiwa aitumie katika kutafuta majibu ya matatizo mapya ambayo hayana solutions kwa wakati huo.

Kwa maoni yangu mimi, software coding ni trade, ambayo mtu anaweza kuipata hata kwa kusoma online, lakini elimu ya computer science ni academic training ambayo mtu anajifunza mbinu mbalimbali za kujenga algorithm na kudesign software ambazo zinaweza kutumika kutatua matatizo mbalimbali. Algorithms hizo ndizo zinazotofautisha Google, Yahoo na Bing kwa leo; ingawa zote ni serach engines. Sergey Brin na Larry Page walipounda algorithm yao ya Page Rank walikuwa wanafunzi wa Computer science, na wala siyo wataalamu wa coding hadi leo.

Utaalamu wa computer science huhitajia pia watu wa computer coding; kwa hiyo ni makosa kwa nchi kujijenga katika computer science bila kuwepo kwa elimu ya computer coding, na wartu wa computer coding wanatakiwa wawe wengi zaidi ya wahitimu wa Computer science. Ni kama kujenga Medical School bila kuwepo kwa Nursing School.
 
Mkuu shukrani kwa maelezo yako,
Labda ningeongeze na kudeclare interest kuwa mimi nimesoma Bachelor of science in Information Technology management.

Inshort haya masomo ya computer nionavyo mimi so far most ni wastage time, vitu vingi ni vitu ambvyo unaweza kujifunza baada ya kusoma vitu vingine, mfano hii ya coding nakuhakikishia huwezi kuw acoding mzuri kama hujuhi hiko unachokifanyia coding, kam ni software/application ya biashara au accountancy huwezi fanya vizuri kaa hujuhi accountancy au kam ni ya Afya, uwezi ifanya vizuri kam huijuhi afya.

so tukubaliane kuwa coding/progaraming tunaweza kuiweka mashuleni lakini iweni kama Topic/subject tu na sio major watu wasome kama wanavyo soma masomo mengine, kitu ambcho so far kinafanyika ila ni kwa wanfunzi wa masomo ya computer na It tu na inafanyika kw aubora zaidi kwa wale wanao major kwenye mambo hayo.

Tukubaline labda watoto waanze kufundishwa pasacal, c+, v basic wakiwa primary.
 
Nakubaliana na wewe kabisa,

Katika maisha yangu nimetumia programming languages nyingi sana na kuzimaster bila kuchukua kozi yoyote. Ninazokumbuka ni pamoja na Borland Pascal, Turbo Pascal, GW Basic, VBasic, Fortran, ANSI C, C++, C#,Java, JavaScript, PhP, HTML, Python, etc. Ninaweza kusema ni kuwa zote zina structure moja inayojengwa kutokana na msingi wa Looping, na Branching. Halafu zile zinazosupport Objects zinaongezea msing wa Classes (abstraction). Sioni kama kweli mtu anatakaiwa awe na digrii kujua kuandika program hizi. Nina project ninayofanya outreach kwa middle schools ambako huwa tunafanya projects na watoto ambao wanaandika program nzuri tu katika C/C++.
 
Back
Top Bottom