Maistro 1
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 422
- 181
Waziri wa sasa hana tofauti Ndg. Mungai nae anakurupuka tu kama ameshindwa ku manage mock nchi nzima ikafanyika kwa ustadi ataweza kumudu gharama za kusomesha sayansi darasa nzima la watoto kunzia 200. Kama hajui stopwatch tu moja ni Tshs.50,000 na kakopo kadogo kabisa ka 5g ka silver nitrate ni 100,000.
Huyu waziri uwezo wake wa kawaida kabisa kinachomtofautisha na mawaziri waliyopita ni KUSIFIWA TU bila sababu za msingi. Na malizia kwa kusema tumepata uongozi mbaya kabisa haijawahi kutokea katika nchi hii, maana uongozi huu unataka kutumikisha tu yaani umeletwa utumwa katika nchi hii.