Elimu bure vs mkopo chuo

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Tuliposema tunasaidia elimu ya sekondari BURE tuliwaaminisha wazazi kuwa ni masikini hawawezi changia hiyo elf.20 kwa mwaka tukasema ELIMU BURE.

Huyu aliyesoma bure kwa umaskini wake akifika chuo anaambiwa alipe hiyo Mil.1,milion 2,million 3 ananyimwa mkopo.kwa kisingizio cha kutokuwa na vigezo ,vigezo vipi ikiwa ni Yatima?,alisoma shule za serikali mliyomlipia elf 20.ila chuo huyu huyu anageuka kuwa Tajiri wa kulipa mil.1,mil.2 ,mil 3.

Alafu kiongozi Fulani ananipigia simu anasema wazazi ndio jukumu lao hili kusomesha watoto wao ,serikali inafanya mambo mengi.,kwani mlipoamua kutoa elimu Bure sekondari .hamkuona kama mzazi anawajibu wa kuwasomesha hao watoto wao? ,au Hamkujua hiyo ELIMU BURE mnatoa kwa mtu wa Namna gani?

Tumekuwa tukishauri zaidi ya kulalamika,

1.bajeti inapopangwa ,haitakiwi kuwa tight kwamba utenge bil.108.8 kwa wanafunzi elf 30 tuu,lazimu iwe loose (excess) ,huwezi panga kwa kwenda chini lazima itatokea deficiency., ndicho kilichotokea bodi wanatumia variables zisizo na uhalisia na wanapata shida sasa,au wamefanya makusudi .sasa hatmae hakuna kinachoendelea sasa every one is quiet.

2.tumekuwa tukishauri wanafunzi walipiwe mkopo wa Ada ,bila kigezo chochote, mkopo wa chakula na malazi ,vitabu,ndio wapewe kwa kufuata vigezo.kila mwanafunzi anayeingia chuo kikuu na aliyeomba mikopo. Ada iwe ni lazima.ili kuepusha hii hali.

Labda tuu ,tuna nia watoto wengi wakimasikini wawe na elimu ya kidato cha nne ,na kidato cha sita sio CHUO.Hatuwezi fika mw.nyerere "njia bora ya kumsaidia Maskini ni kumpa Elimu Mwanae".

Hakika Nasema tunaliua Taifa.

Abdul Nondo.
 
Fact
 
Mheshimiwa ,vipi kuhusu continuous walioomba loan kwa mwaka huu, yani walikosa mwaka uliopita wakaamua omba tena huu, inakuwaje hatma yao maana hadi sasa hakuna hata continuous mmoja, wangekua hawana lengo la kutoa si wangesema hata zile efthelathini za maombi tusingezipoteza.. tunaomba msaada kwa hilo tafadhali.
 
Back
Top Bottom