Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,654
- 591
Halmashauri zimeomba bajeti za shule bila bodi kujua. Pesa zimeingia kwenye akaunti za shule bila bodi kujua. pesa zimeanza kutumika bila bodi kujua. Walimu wakuu wanalalamika pesa hazitoshi bila bodi kujua. Hizi bodi za shule sasa zina kazi gani kama Simbachawene na halmashauri zake wanafanya kila kitu?