Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,983
Wakuu
Rais amewaita mawaziri wake Ikulu jana na kuitangazia dunia tena kwa kushangaa ati kwa kusikia kuwa watoto na wazazi wanachangishwa michango hko mshuleni. Hadithi hizi za magufuli juu ya elimu bure hujitokeza kila shule/mihulà shule zinapofunguliwa.
Je, sio kweli kwamba panatakiwa pawe na nyaraka za kiserikali kusema bure kwenye elimu inaanzia wapi hadi wapi?
Je, ni ni sahihi Rais kuja hadharani na kuwakatza mawazir wanaokutana kila.mara kwenye baraza la mawaziri juu ya namna yanayoendlea kwenye wizara zao.
Katazo la Magufuli hapo jana lilimanosha nini kwenye utawala? Kwamba yeye ndio ana sauti ya mwisho na yote yanayoendlea tyeye ndio kiranja mkuu?
Kwamba umma ujue kila panapoenda mrama ni kwakuwa mkuu/MAGUFULI hapajaona.?
Upo wapi uwapi uwajibikaji wa pamoja?
Tujadili