Elimu bure kuchangiwa. Serikali kutoa vibari kupitia kwa ma RC

Kama ni kweli, basi ccm wanatuchezea sana Watanzania...

nadhani hiyo ilikuwa ni mbinu tu ya kuwin mass support..na baada ya ushindi wanaendeleza ubabe wao..

Hata hivo namba tunaisoma wote bila kujali itikadi....
 
Hao ndio wenye hati miliki ya Tanzania wengine someni tu namba. Wakiulizwa majukwaani wanajibu smple kuw Elimu ni Bure. Sasa yule Mkurugenzi na Afisa wake wa limu Wa Dodoma si warudishwe kazini!!!!!!!
 
Back
Top Bottom