Haahaaaa mkuu umenivunja mbavu, kumbe kuna nguvu nyingine SIO eee.!Picha halisi ndio inajitokeza sasa kichapo asilia ni tofauti na kichapo cha viagra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaaaa mkuu umenivunja mbavu, kumbe kuna nguvu nyingine SIO eee.!Picha halisi ndio inajitokeza sasa kichapo asilia ni tofauti na kichapo cha viagra
Mkuu ndipo tunaelekea huko.. Hiari baadae utaulizwa kwann hauchangii Elimu yetu kw hiari??
Kuna upungufu hapa ila kukiri hadharani ni ngumu but nina imani ipo siku ukweli utakuwa wazi khs hili suala la Elimu bure.
Mkuu nchi yetu tatizo ni ubinafsi, ukiangalia makampuni ya ujenzi makubwa yanayopewa tenda za ujenzi yana ubia na viongozi, ukija kwenye suala la elimu, watoto wao wanasoma shule za private zenye kila kitu kizuri elimu ya mlala hoi wataiboresha vipi?Wao wanajipanga kutawala milele ndio maana sasa hivi si ajabu kusikia kiongozi fulani kafariki, nafasi yake anapewa mtoto wake, wakati kuna watu wenye uwezo wa hizo nafasi wana achwa, mkuu unafikiri ni kweli reli imeshindikana? Viongozi wengi wana ubia na wasafirishaji hii nchi ulafi ndio unairudisha nyuma, juzi hapa waziri anapiga picha na mwanae amempeleka shule ya kimataifa inayo lipwa ghali kweli kweli, unategemea kuboreshewa elimu kina yakhe?Kwa kweli hakuna anayekiri makosa yake. Mh raisi ingawa anajitahidi lakini kuna mapungufu ambayo inahitajina kufanyiwa kazi kwa ushirikiano.
Binafsi niko tiari kutoa
mchango ili watoto wetu wapate elimu na nina elewa sana kwamba serikali yetu bado ni ya kimaskini. Hata kama wakisema bure kama tunazo tutasaidia.
Halafu lingine inabidi kutafuta njia zingine za mapato ili shule ziweze kujiendesha. Mfano hapa Sweden shule za secondari zimegawanyika. Kuna za kilimo na mifugo, kuna za mechanical and car reconditioning n.k. kwahiyo shule zenye car mechanical au electrical wana workshop zao ambazo wanatengeneza magari za watu binafsi na wanafunzi nao wanapata kufanya practical. Mwanafunzi akisha maliza elimu ya secondari anaweza kutengenza gari au kujenga nyumba kwa tofari au mbao au anakua carpenter ingawa sio in full lakini ni rahisi kupata kajiajira. Baada ya hapi ndio mwanafunzi anaamua ajiendeleze chuo kikuu au afanye kazi kwanza angalau hata 1 or 2 years. Kwenye workshop ndio shule zinapata pia hela za kujiendeleza.
Mkuu nchi yetu tatizo ni ubinafsi, ukiangalia makampuni ya ujenzi makubwa yanayopewa tenda za ujenzi yana ubia na viongozi, ukija kwenye suala la elimu, watoto wao wanasoma shule za private zenye kila kitu kizuri elimu ya mlala hoi wataiboresha vipi?Wao wanajipanga kutawala milele ndio maana sasa hivi si ajabu kusikia kiongozi fulani kafariki, nafasi yake anapewa mtoto wake, wakati kuna watu wenye uwezo wa hizo nafasi wana achwa, mkuu unafikiri ni kweli reli imeshindikana? Viongozi wengi wana ubia na wasafirishaji hii nchi ulafi ndio unairudisha nyuma, juzi hapa waziri anapiga picha na mwanae amempeleka shule ya kimataifa inayo lipwa ghali kweli kweli, unategemea kuboreshewa elimu kina yakhe?
Nchi ina ulafi sana wa madaraka kutoka chama tawala, kama suala la umeya wa kilombero lilihatarisha maisha ya mbunge kwa kuchukuliwa na polisi ili tu akidi isitimie, suala la umeya wa jiji la Dar, limekuwa la aibu kwa kuwa ccm wameona hawawezi kupata ushindi kwa kuwa wana wajumbe wadogo, mpaka wanasingizia oda za mahakama ambazo ni fake na mwisho alitoa hiyo oda ya kuahirisha anaema nilikosea na bado hakuna hatua inayochukuliwa dhidi yao kwa kusababisha uvunjifu wa amani, badala yake wajumbe wa upinzani ndio wamepewa kesi, kama viongozi wa serikali wako tayari kuivusha nchi hapa ilipo, siasa za chuki na ubabe hazifai kabisa. DC anamtukana mbunge mbele ya wananchi kuwa anpenda sifa, wakati ni wananchi walio mchagua, kuvunjiana heshima mbele ya watu ni upuuzi mtupu, DC anajitapa nimepewa madaraka na rais, mbunge anajitapa nimepewa na wannchi walio wengi, sijaandikiwa kibarua, hivi kweli tunaelekea wapi?Hilo ndio tatizo kubwa tuliokua nalo. Tuseme ni nchi zote za kiafrika. Ni vigumu sana kupata viongozi wenye maadili na wenye uchugu na nchi na wananchi. Hata kata akitokea mmoja au wawili ujue kuna 100 watakao fanya kinyume.
Mkuu aksante kw mchango mzr na mfano wa huko Sweden.Kwa kweli hakuna anayekiri makosa yake. Mh raisi ingawa anajitahidi lakini kuna mapungufu ambayo inahitajina kufanyiwa kazi kwa ushirikiano.
Binafsi niko tiari kutoa
mchango ili watoto wetu wapate elimu na nina elewa sana kwamba serikali yetu bado ni ya kimaskini. Hata kama wakisema bure kama tunazo tutasaidia.
Halafu lingine inabidi kutafuta njia zingine za mapato ili shule ziweze kujiendesha. Mfano hapa Sweden shule za secondari zimegawanyika. Kuna za kilimo na mifugo, kuna za mechanical and car reconditioning n.k. kwahiyo shule zenye car mechanical au electrical wana workshop zao ambazo wanatengeneza magari za watu binafsi na wanafunzi nao wanapata kufanya practical. Mwanafunzi akisha maliza elimu ya secondari anaweza kutengenza gari au kujenga nyumba kwa tofari au mbao au anakua carpenter ingawa sio in full lakini ni rahisi kupata kajiajira. Baada ya hapi ndio mwanafunzi anaamua ajiendeleze chuo kikuu au afanye kazi kwanza angalau hata 1 or 2 years. Kwenye workshop ndio shule zinapata pia hela za kujiendeleza.
Lowasa anajua kuongea????? I am kidding!!!!Kwa nini wwasimuite LOWASA wamuulize yeye angefanya vipi? kuwa upinzani si uadui ila nchi hii ubinafsi wa ccm ndio unafanya mambo yasiende inavyotakiwa.
nimejikuta nacheka tu.Mh sawa!, miaka 5 bado mbali na hata mmoja hatujafika nusu -TUNASUBIRI.
Kuna wakuu wa shule walifukuzwa kazi kwa kuomba wazazi wachangie, basi warudishwe kazini, they were right! duh mkurupuko mwingine huu, hii mizuka sijui ataishia wapi?
Heee ! kumbe ile bure ilikuwa changa la macho ! sasa kule dodoma ambako wazazi wamefungulia kuzaa baada ya ya kuambiwa elimu ni bure itakuwaje ?.....Elimu ya Msingi na Sekondari kuchangia kuanzia sasa...vibali vya kuruhusu uchangiaji vitapatikana na vitatolewa na wakuu wa mikoa Tanzania nzima..' kauli ya Serekali
Ccm kuwaamini inaitajika uwe na PhD ya upumbavuHeee ! kumbe ile bure ilikuwa changa la macho ! sasa kule dodoma ambako wazazi wamefungulia kuzaa baada ya ya kuambiwa elimu ni bure itakuwaje ?
wamesema kuchangia ni kwa hiyari kijana.....Elimu ya Msingi na Sekondari kuchangia kuanzia sasa...vibali vya kuruhusu uchangiaji vitapatikana na vitatolewa na wakuu wa mikoa Tanzania nzima..' kauli ya Serekali