Elibariki Kingu unawachonganisha Wabunge wa Singida

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kitendo cha kwenda kwenye jimbo la Lissu kuanza kutoa misaada ilihali wananchi wa jimbo lako la Singida wakiteseka hawana hata maji ya kunywa, huu ni kama uchonganishi.Mwenzako yuko hoi kitandani wewe unachekelea? Uko ni ujombani kaka ufahamu.

Inasemekena kua huyu jamaa ameshaanza kumwaga sumu kwenye jimbo la Mh Nyalandu, anataka wananchi nao wamchukie nyalandu huu nao ni uchonganishi wa hovyo.

Utambue kua wewe uko ujombani, 2020 sijui ni nani atakurudisha tena kwa wanyaturu.
 
Huyo Mnyiramba arudi kwao tu huko
kwa wenye roho mbaya wenzake wanyiramba
aache wanyaturu wafanye mambo yao
 
Halafu sisi tunachanga fedha kusaidia mradi wa maji jimboni kwake. Jamaa anajua kujipendekeza.
 
Huyo jamaa ukimuona ni muuza sura tu kma bashite,mara ooh sitachukua posho ya ubunge,shubamit kwa uchovu wke anakula posho kma kawaida
 
Mwache ajenge 2020 Lissu kilaini kabisa tena lea kusema kwamba coyote vilivyofanuwa companies bajeti pole zake
 
Huyo jamaa ukimuona ni muuza sura tu kma bashite,mara ooh sitachukua posho ya ubunge,shubamit kwa uchovu wke anakula posho kma kawaida
Ni moja kati ya wabunge wenye madeni kupindukia mpaka anakwepa vikao vya bunge kuogopa kudaiwa!

Amechukua pesa za vikao (posho) zoote mpaka 2020 na amekua tapeli tapeli mnoo..

Huyu asipo angalia atafuata nyayo za utapeli za mzee mafwedha aliye muongiza mjini mbunge fulani mwka 2015 mpaka kesi ikafika kwa waziri mkuu!

kwa tunao mjua hua tunamdharau tu! kujifanya mlokole ooh yesu wangu yani mnafki kama mzee kipara!
 
Back
Top Bottom