TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Hivi vifo vya viongozi wetu kuanzia cha mkuu wa nchi vinawalakini kuna kitu nyuma yao ila watu wanatembelea Corona ndo maana majaliwa kapoa sana siku hizi toka ende madudu ya hazina na mwendokasi sijui walimtisha kidogo.
 
Ukiwa mgonjwa huruhusiwi kuchanjwa, sijui ni kwa sababu zipi lakini huo ndiyo ukweli.
Chanjo zilizo nyingi hutumia vimelea vya ugonjwa ambavyo vimedhibitiwa nguvu pamoja na kiasi. (Live attenuated vaccines).
Unapokuwa mgonjwa ni kwamba una wadudu tayari wa ugonjwa, unapochanja unaongeza wengine kufikia kiasi ambacho kitaleta madhara mwilini kwa kufanya dalili ulizo nazo kuwa kali na hata kuwa chanzo cha kifo.

Wajuzi zaidi wataweka mambo sawa.

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom