Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,137
- 56,595
Kijana kabisa. Hajafika 60.Duh,miaka 55 kijana?
Kijana kabisa. Hajafika 60.Duh,miaka 55 kijana?
Pale atawekwa Mzanzibari. Magufuli nae alijilinda kwa kuweka Ngosha mwenzake kumbe hakujua tu kuwa Mungu ndo last say.usifanye watu tudhani foul play maana wizara nyeti ile watu wajiangalie korona isije ikawa ndo kifungashio
Kwani umeona akikufa?mbona hakuonekana akichanjwa ?
Aiseee !!Pale atawekwa Mzanzibari. Magufuli nae alijilinda kwa kuweka Ngosha mwenzake kumbe hakujua tu kuwa Mungu ndo last say.
Uzee ni kuanzia 60.Miaka 55 bado ni kijana ?
Ni mtu mmoja mstaarabu sana, nilikutana naye kwao Butibu Ushetu japo nilimkorofisha lakin hakureact wala kuonesha kwamba ana power.
Chanjo zilizo nyingi hutumia vimelea vya ugonjwa ambavyo vimedhibitiwa nguvu pamoja na kiasi. (Live attenuated vaccines).Ukiwa mgonjwa huruhusiwi kuchanjwa, sijui ni kwa sababu zipi lakini huo ndiyo ukweli.
Johnson ameanza kazi
RIP KWAKE. MUNGU AMREHEMU.
POLE RAIS NA WAFIWA WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA.
Aisee vigogo tu huu mwaka huu na mwaka jana kuanzia term ya pili tanzania ineshuhudia vifo vya watu wazito
Uvico ya sasa inatafuna vijana
Vilio ni kwa wote?Nani kakudanganya ni vigogo tu?
Nyie si ndo mnaimani na chanjo? Amesha chanja no problemItakuwa hiyo hiyo. Na huyo mama anayetanga tanga huku na kule anahatarisha maisha yake.
Kipenzi cha Magufuli huyu halafu kafa bado kijana sana duh!!
unawaza uchaguz tu shubamit