TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Johnson ameanza kazi


RIP KWAKE. MUNGU AMREHEMU.
POLE RAIS NA WAFIWA WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA.
muwe mnachunguza kabla ya kukoment. hakupewa chanjo. ni moja ya mawaziri ambao hawakuwepo kwenye uzinduzi wa chanjo.

kaumwa hata kabla rais hajizundua chanjo
 
Ukweli vaccine sio 100% efficative kwahiyo hata hao waliopata Jab wanaweza kufa vile vile kwahiyo isiwe sababu ya kuiweka kasoro hizo chanjo au kuibeza .

Chanjo inasaidia to some extent 2 survive kama ukipata maabukizi ya Covid19 kwahiyo ndugu zangu wale wote tunao approach 40yrs nawashauri nendeni mkapate chanjo mm mwenyewe nilikuwa MBISHI HASA kwenye hii kitu mm mwenyewe nimekuwa mpole sn nimeshadungwa huku niliko kama tukiwa MAZOMBIE tena MMUNGU ndiye anajua.
 
Mbona kwenye mgomo wa 1990 sikukuona?
Au ndio mliokimbilia mwambani mapema
Kile kikosi kicho mteka mwl demu kiende naye pori ulivaaje
Ndo kwanza nilikuwa na 4 yrs .Huyu kasoma na Uncle wangu sema walikuwa wanakuja kwetu weekends wakichoka ugali maharagwe wa Shybush. 🤣
 
Back
Top Bottom