TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Ndo nafungua habari hapa naona mzee wangu kwandikwa kafaka.
Nimeishiwa na nguvu kabisa.
Mzee kwandikwa kiufupj katika watu walionishika mkono sana kipindi yupo mkaguzi wa hesabu.
Na mzee wangu kumpigania kipondi hana tafuta ubunge .
Kwa vile kwake napajua mpaka kijiji leo lazima niende.
Ingekuwa dar ni kibaha picha ya ndege.
 
Mbona wanaokufa wana 99% ya kujizuia wanapesa wana access ya huduma nzuri za afya? Kuna namna hapa sio hii covid mtaaani huku tunapumuliana lakini wapi
Mi Nina wasiwasi na Air condition za yale Magari yao wanayotumia huko Serekalini!!
 
R.I.P mheshimiwa Elias John Kwandikwa, kafariki akiwa kaacha kesi mahakamani ya kutapeliwa mtandaoni na kijana wa kichaga.
 
Serikali ikiendelea kufanya zoezi la kudhibiti corona ni jambo la hiari mbona itakuwa noma na nusu maana utachukua wewe tahadhari 1000 hawachukui mwisho wa siku inakuwa haina maana
Halafu hii habari ya watu kupigwa chanjo bila kupimwa corona kwanza,sijui imekaaje.
 
Back
Top Bottom