ELEWA kuhusu HESLB.

kumbe mwakani duu kimbia mapema darasani kwasababu ukijifanya mjanja unaweza zisikia tu kwa wenzio
kasome dogo na umheshimu teach wako

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa jukwaa hili unge gundua kua huyu kijana QUALIFIED ni one of the selected applicants to join universities this year 2012/2013 so mimi nilicho kiona hapo nikua mwaka huu mkopo unampita labda NEXT year, it could be that he didn't apply for it
 
Last edited by a moderator:
ebu nami niulize kama mkopo utachelewa chuo watataka tulipe ada then mkopo ukitoka wanaturudishia tulicholipa au watasubiri mgodi uteme think big
 
Uzushi priority palepale ndugu yangu yuko bodi kamwambia mdogo wake ajaze education ko alimdanganya mdogo wake af angalia yaliyo tokea mwaka jana ni dalili tosha kwamba selikali inataka kujitoa katika swala la sponsa ship.
 
ebu nami niulize kama mkopo utachelewa chuo watataka tulipe ada then mkopo ukitoka wanaturudishia tulicholipa au watasubiri mgodi uteme think big

Kama tayari umepata mkopo hafedha zikichelewaje hauto daiwa
 
Mkuu, umetoa somo zuri, ila system ya sasa hivi sio ya zamani. Sasa hivi hamna kitu kinaitwa %. Matokeo yanatoka kwa kuonyesha umepewa kiasi gani na baadaye wanatoa loans breakdown kukuonyesha wamekugawanyishia. NON PRIORITY na PRIORITY zinahusika sasa, maana kuna program zimepewa kipaumbele zaidi ya nyingine. Wewe wape moyo tu, ngoja muone mautumbo ya HESLB
 
Uzushi priority palepale ndugu yangu yuko bodi kamwambia mdogo wake ajaze education ko alimdanganya mdogo wake af angalia yaliyo tokea mwaka jana ni dalili tosha kwamba selikali inataka kujitoa katika swala la sponsa ship.

ni kweli kabisa. Ila hata wa Education siku hizi wanapata nusu ya mkopo na sio full kama zamani (kwa wanaosoma masomo ya arts).
 
ebu nami niulize kama mkopo utachelewa chuo watataka tulipe ada then mkopo ukitoka wanaturudishia tulicholipa au watasubiri mgodi uteme think big

Inategemea na sera ya chuo. Mfano Udsm huwa wanatoa pesa yao then boom likitema wanakatana moja kwa moja na HESLB. Pia mfano matokeo yakitoka na hujapewa mkopo, then next results ukapata, hata kama ulishalipa ada wanakupa pesa yoote na maboom ambayo ulikuwa hujapata, wenzio walipata.
 
hiv kuna specific akaunt ? Au unafungua akaunt benki yoyote?

Account yeyote ila nakushauribulizia walip chuo ulicho chaguliwa accounts za bank gani hupata kwa mara ya keanza,

Sikushauri NMB utapanga foleni mpaka kesho kutwa
 
Jamiiforums makes fun of me,This member has come with this educative Thread but people still criticize the way he wrote.

Thank you Brother u have opened my mind about HESLB stay blessed!
 
Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September.
Pia naomba kuwatoa hofu kuhuzi ile mambo ya "PRIORITY" na "NON PRIORITY" mwaka wa fedha 2012/2013 bodi ya mikopo imepewa fedha za kutosha so naomba muondoe shaka kuhusu mikopo, pia % za mikopo zisiwachanganye vichwa vyenu saana, viwango viko kama ifuatavyo
A=100%
B=90%
C=80%
D=70%
E=60%
F=50%
G=40%
H=30%
I=20%
J=10%
K=0%
Hizi grades za mikopo zisiwape hofu kabisa kwani tofauti yake ipo katika TUITION FEE pekeyake kingine kote ziko sawa ikimaanisha kwanba aliye pata 100% hato lipa ada kabisaa ila aliye pata 10% atalipa 90% ya ada na aliye pata 0% yeye atalipa ada yoote 100% ila feda zingine atapata kama atakavyopata mwenye 100%
Pia ikumbukwe kua kunauwezekani wa kukosa hata hiyo 0% yaani ukapata NIL hapa utajilipia kilakitu hutopata hata sh. 10 toka HESLB.
Mkopo toka HESLB uta cover vitu vifuatavyo
1.TUITION FEE
2.MEALS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
Ikumbukwe kua fedha hutumwa chuoni na wanafunzi husaini form za majina kudhibitisha uwepo wao vyuoni ndo fedha huingizwa katika account ya mwanafunzi husika. Ni hayo tu nduguzanguni

NB:- FEDHA HUCHELEWA KUFIKA VYUONI SO MUONDOKE NA FEDHA YA KUTOSHA KABLA BOOM HALIJATOKA.

Ebwana hebu nieleweshe kuhusu hii meal na accomodation ndo ile 7500 per day au hii ni kwa meal tu na accomodation huwa mbali?
 
Ebwana hebu nieleweshe kuhusu hii meal na accomodation ndo ile 7500 per day au hii ni kwa meal tu na accomodation huwa mbali?

Kama mdau mmoja alivyo eleza hapo juu, kuanzia 2011 walianza kutoa kwa magroup so utapata kiwango flani cha pesa kwa kipindi cha muda flani, sasa wewe binafsi utajigawa mwenyewe
 
Somo zuri sana hili kikubwa ni kuomba heri ili huo mkopo upatikane kwa wale wenye mahitaji nao tu cause wengi wetu hali zetu ni za kawaida sana.
 
Tatizo watu wanapenda kuandika watu watakacho kifurahia na sio ukweli mfumo wa %umeshapitwa na sasa wanaweka tu kiasi ambacho utalipiwa ada na bodi.
 
Back
Top Bottom